Mr Morogoro
JF-Expert Member
- Apr 23, 2019
- 1,245
- 1,734
Hujajibu swali mkuu...alihudhuria kama nani???Ila mi najua ukweli wote hakuna chochote kilichoongelewa kuhusu hujuma za uchaguzi Basi tuu hamuwezi kuamini
Hujajibu swali mkuu...alihudhuria kama nani???Ila mi najua ukweli wote hakuna chochote kilichoongelewa kuhusu hujuma za uchaguzi Basi tuu hamuwezi kuamini
Halafu amekaa kidizaini kama anaachia ule ushuzi wa kisailensa.View attachment 1258258
Ni vema maswali madogo kama haya yakajibiwa ili kuitenganisha ikulu na uchafu wowote
Mkuu watu dizaini hii hawana aibuWakati mwingine, uwe unauficha ujinga wako!
😆😆😆😆Halafu amekaa kidizaini kama anaachia ule ushuzi wa kisailensa.
Ndio shida yenu chadema ,hamtaki majadiliano mnapenda ushindani usio na maanaBwana mdogo subiri Unai Emery atimuliwe , haya mambo huyawezi
Kama sehemu ya kamati ya fitnaView attachment 1258258
Ni vema maswali madogo kama haya yakajibiwa ili kuitenganisha ikulu na uchafu wowote
Hahaaaaa...mnaona nyota nyota tu na bado 2020View attachment 1258258
Ni vema maswali madogo kama haya yakajibiwa ili kuitenganisha ikulu na uchafu wowote
Hahaaaaa...mnaona nyota nyota tu na bado 2020
Swali dogo na fupi lakini majibu yana mawaa makubwa. Labda polepole mwenyewe au aliemwalika anaweza kujibu.View attachment 1258258
Ni vema maswali madogo kama haya yakajibiwa ili kuitenganisha ikulu na uchafu wowote
Ndio unastuka leo mkuu?Hivi inawezekana kabisa kuwe na maagizo kwa hawa watendaji wa kata halafu chama kikubwa kama CHADEMA wasijue ni nini kimeagizwa?
Kama iliwezekana nina mashaka na upinzani Tanzania. Huenda kuna mchezo wananchi tunachezewa.
Wanatuzunguka kumbe ndio michezo waliyojipangia ili waendelee kula. TumekwishaNdio unastuka leo mkuu?
Ndio maana sie wengine huwa tuna wa acha hawa wanasiasa wapambane wao kwa wao; sio kutuingiza sisi wananchi kwenye uhuni wao.
Utashi wa kisiasa, tushughulike na mambo makubwa siyo haya ya mtu kuhudhuria mkutanoView attachment 1258258
Ni vema maswali madogo kama haya yakajibiwa ili kuitenganisha ikulu na uchafu wowote
Inasaidia, katika watu wa kuwajibishwa anaweka ushahidi!Ungeuliza siku ile ile labda ingesaidia!