Walipoitwa watendaji wa Kata wa nchi nzima Ikulu , Humphrey Polepole alihudhuria kama nani?

Walipoitwa watendaji wa Kata wa nchi nzima Ikulu , Humphrey Polepole alihudhuria kama nani?

Wanatuzunguka kumbe ndio michezo waliyojipangia ili waendelee kula. Tumekwisha
Hawa jamaa tuwaache wapambane mpaka watoane meno.
Hata akiingia mpinzani ikulu ataanza Kula yeye then sie atupatie makombo tu.
Sasa kuna haja gani ya kuwasaidia wapinzani kupambana na CCM?
Hizi ni changamoto za miaka yote, kwanini hawajajipanga kukabiliana nazo wakati wao siasa ndio kazi yao?
 
Tunaandaa orodha ya watakaodakwa muda mfupi ujao , kinachofanyika sasa ni kukusanya ushahidi
Ni vema kukusanya ushahidi maana siku hazigandi ipo siku The Hague kitaongelewa kiswahili kwa Mara ya kwanza
 
Hivi huku JF hakuna hata mtendaji mmoja atumegee siri
 
Hivi mnajua kuwa mara kadhaa Dr. Bashiru amewahi kukutana na Jaji mkuu kwaajili ya mazungumzo yanayohusu CCM?

Nawahakikishieni hatuna mahakama, hatuna Bunge wala serikali. Kila mahali iliyopo ni CCM tu. Na uchafu wote tunaouona ni mipango ya CCM na Mwenyekiti wake, na mwenyekiti kimsingi amegeuka kuwa ndiyo CCM.
Tunakushukuru kwa kufichua siri
 
Back
Top Bottom