Walipoitwa watendaji wa Kata wa nchi nzima Ikulu , Humphrey Polepole alihudhuria kama nani?

Hivi inawezekana kabisa kuwe na maagizo kwa hawa watendaji wa kata halafu chama kikubwa kama CHADEMA wasijue ni nini kimeagizwa?

Kama iliwezekana nina mashaka na upinzani Tanzania. Huenda kuna mchezo wananchi tunachezewa.
 
Reactions: 30P
Hivi mnajua kuwa mara kadhaa Dr. Bashiru amewahi kukutana na Jaji mkuu kwaajili ya mazungumzo yanayohusu CCM?

Nawahakikishieni hatuna mahakama, hatuna Bunge wala serikali. Kila mahali iliyopo ni CCM tu. Na uchafu wote tunaouona ni mipango ya CCM na Mwenyekiti wake, na mwenyekiti kimsingi amegeuka kuwa ndiyo CCM.
 
Haya aliyaongea akiwa wapi?
 

Attachments

  • 2207672_Apandacho_mtu_ndicho_atakachovuna__268_X_480_.mp4
    370.1 KB
Mkuu yawezekana wewe ndiye Kigogo 2014 au msaidizi wake,maana hili swali naye kaliulizwa huko Twitter.
 
Hivi inawezekana kabisa kuwe na maagizo kwa hawa watendaji wa kata halafu chama kikubwa kama CHADEMA wasijue ni nini kimeagizwa?

Kama iliwezekana nina mashaka na upinzani Tanzania. Huenda kuna mchezo wananchi tunachezewa.
Ndio unastuka leo mkuu?
Ndio maana sie wengine huwa tuna wa acha hawa wanasiasa wapambane wao kwa wao; sio kutuingiza sisi wananchi kwenye uhuni wao.
 
Ndio unastuka leo mkuu?
Ndio maana sie wengine huwa tuna wa acha hawa wanasiasa wapambane wao kwa wao; sio kutuingiza sisi wananchi kwenye uhuni wao.
Wanatuzunguka kumbe ndio michezo waliyojipangia ili waendelee kula. Tumekwisha
 
Reactions: 30P
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…