πΉπΉπΉAyo asipovaa kofia anafanana na marehemu Dr Shika wa 900 itapendeza
Km harmorapa πΉπΉπΉ
Irudiwe πΉπΉπΉNiliweka nishaifuta
πΉπΉπΉ Huyu jamani hiyo suruali jola zima limeisha hapo
Huyu angehubiri hivyo alivyo mwanzo angeonekana amechanganyikiwa πΉπΉπΉ
Aaah wapi ayo ana komwe wakati Hapi hana komweMimi naona asipovaa kofia kichwa chake kwa mbele komwe forehead kinafanana kama dickhead pia Ali hapi hivyo hivyo.
View attachment 3041531
Wakati anaingia mjini yupo kulia au kushoto?
Huyu wa kwanza aliyegeuza kofia ndio Manyanza Kabla hajawa mzee wa conspiracy theories. Huyo mmama mbonge mwenye kofia ndio Lamomy pisi yake 100 others
Huyo wa katikati ndio wewe.Wakati anaingia mjini yupo kulia au kushoto?
Una tatizo la afya ya akili. Nakupuuza jumla.Huyo wa katikati ndio wewe.
Tupia yako ulipokuwa mzee na sasa u kijana. Kipindi hiko unalamba kamasi na zingine unafutia kwenye mkono. Kipindi hiko unakunya minyoo na mingine inatoka yenyewe tu mdomoni na ............πππππΉπΉπΉ Huyu jamani hiyo suruali jola zima limeisha hapo
Hapo kwa Millard nafkiri tulikuwa hatujahama tu kutoka analojia, kwenda digitali... Na mabadiliko ya fashion hayakuwa advanced sana kama miaka ya hivi karibuni, pia mitandao imebadilisha mastaa wengi na kuwatanua kiakili na kiubunifu... Sura ni ileile tu.
Tupia yako mkuu wakati ule huchagui pa kunya. Ulipokuwa unakunya sehemu yoyote ile. πππππ . Mi nimeipata yako moja ya utotoni hiyo hapo ukiwa unaenda shule.Aaah wapi ayo ana komwe wakati Hapi hana komwe
Oscar n hiyo suruwale katisha
Tupia ile yako mkuu uliyokuwa na funza na utapia mlo.Pesa inasafisha aisee, watu wanazeeka kwanza halafu ndo wanarudi ujana.
Huyu asingekuwa bondia saiv angekuwa bodaboda... Astaghfirullah! π