Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 16,464
- 35,629
- Thread starter
- #81
Siku zote huwa namwambia Peace begins with a simle. Hapo juu yupo Mahakamani alishawahi kupandishwa mara 103 kwa mwaka 2016.Alafu umeona hiyo saa habadirishi 🤣🤣🤣CEO ana sifa zote za mwanaume, na ana maintain hilo.
Inaonesha ujanani alikua mpolee na mkimya afu mtaratibuu.
Hiyo picha ya mwanzo sijui alikua na jambo gani, kawa na huzuni mnoo.