Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Bado niko vilevile, sijabadilika, pesa kwangu ni kizungmkuti.ile yako mkuu uliyokuwa na funza na utapia mlo.
Siku ukiona nimebadili avatar hapo basi jua nimejipata na nitajipost kwenye huu uzi.