Nyaka-One
JF-Expert Member
- Oct 27, 2013
- 4,730
- 6,736
Ni hivi picha ya kwanza inayomaanisha before kuna watu watatu na kwenye picha imedai Mwamposa yupo kulia. Ila mimi nikiangalia hapo naona siyo wa kulia bali ni huyo wa kushoto.Wote wawili wapo kwenye Picha angalia before n after