Walisema Musa tuvushe walivyo fika jangwani wakasema tungebaki kwa farao , ni zamu ya Rais Samia

Walisema Musa tuvushe walivyo fika jangwani wakasema tungebaki kwa farao , ni zamu ya Rais Samia

Status
Not open for further replies.

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
12,213
Reaction score
28,916
Zamani za kale za Bibilia wana wa Israel walimwambia Musa awavushe bahari ya Shamu watokane na mateso ya farao walipovuka wakakutana na jangwa waka zingua wakisema bora wangekufa mikononi mwa Pharao wanadamu hawana jema .

Lisu alikuwa ulaya kwenye kambi za wakimbizi baada ya kukoswa kifo na huyu rais kutembea hadi huko kambini akimsihi aje home tujenge nchi , lema alikuwa huko anaishi kwa kubeba maboksi leo ndio wanaongoza genge la kumtukana rais na kukashifu kazi zake kama vile sio wao waliosema magufuli alikuwa mbaya samia mzuri tena wana geuka na kusema magufuli mzuri Samia mbaya , wanadamu

Nikuombe Mh Rais Samia suluhu Hasan hawa siku ukitoka watakimbia sana kama walivyo muimba kumpongeza Kikwete na sasa wanampongeza magufuli hadi kutamani kulala kwenye kaburi lake .

Tulia piga kazi piga kampeni watakushukuru kila siku siku ukistafu

USSR
 
Lakini boss wako si ndio kafungia huu mtandao why unakuja kumsafisha humu tena?Umesema aliyepita alikuwa Farao na huyu wa sasa ni nani?Wakina Mdude,Desudedith soka,TL,Ally kibao je hawa walipaswa kutendewa kama alivyo fanya........
Ni muda sasa Maxence apige ban hawa watu hao watu wenu mnaowatetea kawateteeni kwenye majukwa mengine huko sio huku walikofungia.......
 
Nipo Kampala nawa pasua tu uzi juu ya uzi

USSR
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom