Walisema Sadio Mane amebaguliwa Bayern Munich ila leo Bayern Munich wamempa kazi kubwa ya ukocha Vicent Company

vibesen xxx

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2022
Posts
3,187
Reaction score
6,620
I'm proudly black man

Ila waafrica wengi tuna matatizo sana

Sadio mane alienda Bayern Munich tena akawa miongoni mwa wachezaji watatu wanaokula mshahara mkubwa Bayern

Lkn tunaofatilia mpira toka liverpool ni kwamba sadio mane alishajichokea mpira ulishaisha km mnavyojua waafrica kwa kudanganya umri hatujambo

Sasa baada ya kuanza kudeliver uwanjani watu wausi wakawa wanasema anabaguliwa kwasababu ni mweusi wengine wakaenda mbali zaidi wakasemas sababu ya dini na ujinga ujinga kibao

Lkn leo hii bayern munich klabu bora duniani imemchukua Vicent company kuwa kocha wao

Ndugu zangu waafrica ni kweli wazungu wanamapungufu yao km sisi tulionayo watu weusi lkn sisi jamii ya watu weusi tumekuwa watu dhaifu sana kufikiri

Namtakia kila heri vicente company ktk kazi yake mpya

The bavarian
 
Mane umri ulikuwa umeenda hajabaguliwa wala Nini.
Mzungu hawezi kukubagua kama hufanyi vyema
 
Bayern yenyewe Kila msimu lazima kikosi kiwe na mchanganyiko wa watu kama umoja wa mataifa na hakuna anayebaguliwa
Hizo zilikuwa hisia
 
I'm proudly black man

Ila waafrica wengi tuna matatizo sana

Sadio mane alienda Bayern Munich tena akawa miongoni mwa wachezaji watatu wanaokula mshahara mkubwa Bayern

Lkn tunaofatilia mpira toka liverpool ni kwamba sadio mane alishajichokea mpira ulishaisha km mnavyojua waafrica kwa kudanganya umri hatujambo

Sasa baada ya kuanza kudeliver uwanjani watu wausi wakawa wanasema anabaguliwa kwasababu ni mweusi wengine wakaenda mbali zaidi wakasemas sababu ya dini na ujinga ujinga kibao

Lkn leo hii bayern munich klabu bora duniani imemchukua Vicent company kuwa kocha wao

Ndugu zangu waafrica ni kweli wazungu wanamapungufu yao km sisi tulionayo watu weusi lkn sisi jamii ya watu weusi tumekuwa watu dhaifu sana kufikiri

Namtakia kila heri vicente company ktk kazi yake mpya

The bavarian
Tofautisha cheusi Mangala na shombeshombe. You are not the same.
 
Klopp ndio maana Manager mkubwa, hawa wanaona mchazaji anaelekea wapi luna specialist wana trend perfomance ya mtu. Lakini kwenye ubaguzi mbona hata sisi wenyewe tunawabagua makocha wetu hatuwalipi kama watu na pia tunathamini wa nje kuliko vyetu. Akija mzungu tunaona tuko salama wewe mbongo hata ushinde nini watasema uchawi tu na viongozi wanasaidia team kushinda na rushwa.
 
Back
Top Bottom