vibesen xxx
JF-Expert Member
- Jul 23, 2022
- 3,187
- 6,620
I'm proudly black man
Ila waafrica wengi tuna matatizo sana
Sadio mane alienda Bayern Munich tena akawa miongoni mwa wachezaji watatu wanaokula mshahara mkubwa Bayern
Lkn tunaofatilia mpira toka liverpool ni kwamba sadio mane alishajichokea mpira ulishaisha km mnavyojua waafrica kwa kudanganya umri hatujambo
Sasa baada ya kuanza kudeliver uwanjani watu wausi wakawa wanasema anabaguliwa kwasababu ni mweusi wengine wakaenda mbali zaidi wakasemas sababu ya dini na ujinga ujinga kibao
Lkn leo hii bayern munich klabu bora duniani imemchukua Vicent company kuwa kocha wao
Ndugu zangu waafrica ni kweli wazungu wanamapungufu yao km sisi tulionayo watu weusi lkn sisi jamii ya watu weusi tumekuwa watu dhaifu sana kufikiri
Namtakia kila heri vicente company ktk kazi yake mpya
The bavarian