Walitumwa wakidhani wanatekeleza sheria mpya wanakula mtama tunduni

Msanii

Platinum Member
Joined
Jul 4, 2007
Posts
26,483
Reaction score
40,130
Tai kazoea kunyakua vifaranga bila resistance. Bosi wa kampuni akatoa agizo vifaranga vilivyopo mabanda ya mbali kwamba washughulikiwe.

Tai wanne waliotumwa kwa Anko Tom wameishia mikononi mwa wanaojulikana. Wanashindia uji na migebuka kwa sasa.

Mashavu muimba taarabu anazidi kujisogeza mwisho wa sakafu
 
Ko anko tom kaona dharau, kutumiwa vipepeo wasio kuwa na adabu.

ngoja awa subirie mezani kwenye bargaining, maana ku operate kwake bila kumjuza ni dharau ya wazi.
 
Tai kazoea kunyakua vifaranga bila resistance. Bosi wa kampuni akatoa agizo vifaranga vilivyopo mabanda ya mbali kwamba washughulikiwe.

Tai wanne waliotumwa kwa Anko Tom wameishia mikononi mwa wanaojulikana. Wanashindia uji na migebuka kwa sasa.

Mashavu muimba taarabu anazidi kujisogeza mwisho wa sakafu
Nimependa uwasilishaji wako wa mada, Umepita mule mule kama uandishi wa yoga
 
Back
Top Bottom