Mpetde
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 5,082
- 8,368
Muimbataarabu ni nani au ndio wewe?
- Unatuharibia uzi ndugu. Nenda na 'beat-style' ya uwasilishaji wa mleta mada.
- Hakuna Jina alilotaja mleta Mada
Muimbataarabu ni nani au ndio wewe?
- Unatuharibia uzi ndugu. Nenda na 'beat-style' ya uwasilishaji wa mleta mada.
- Hakuna Jina alilotaja mleta Mada
Najaribu kufungua code.Tai kazoea kunyakua vifaranga bila resistance. Bosi wa kampuni akatoa agizo vifaranga vilivyopo mabanda ya mbali kwamba washughulikiwe.
Tai wanne waliotumwa kwa Anko Tom wameishia mikononi mwa wanaojulikana. Wanashindia uji na migebuka kwa sasa.
Mashavu muimba taarabu anazidi kujisogeza mwisho wa sakafu
Umejaribu kulima na mtamba wangu.Najaribu kufungua code.
Tai = ni mkuu wa usala (TISS)
Vifaranga vilivyopo mabanda ya mbali =ni wanaharakati waliopo nchini marekani (mange kimambi na wengineo wanaokemea na kuleta hoja juu ya serikali).
Wanaojulikana = ni FBI au vyombo vya usalama vya nchi ya mbali (marekani).
Mashavu muimba taarabu ni mwenye mamlaka kumzidi mwenye kukusanya taarifa za (TISS wote)/ madam president.
🤷🏿♂️🤷🏿♂️🤷🏿♂️🤷🏿♂️🤷🏿♂️
Ndio mambo gani hayaTai kazoea kunyakua vifaranga bila resistance. Bosi wa kampuni akatoa agizo vifaranga vilivyopo mabanda ya mbali kwamba washughulikiwe.
Tai wanne waliotumwa kwa Anko Tom wameishia mikononi mwa wanaojulikana. Wanashindia uji na migebuka kwa sasa.
Mashavu muimba taarabu anazidi kujisogeza mwisho wa sakafu