nao wapigwe mashine tu, si ndio michezo yao😂Wametema bungo😅
Na muimba taarabu ni nani?Tai ni Samia
Vifaranga vya mabanda ya mbali: polepole, Mange kimambi, Gwajima etc
Anko tom: Polepole
Anko Tom: Polepole = ❌Tai ni Samia
Vifaranga vya mabanda ya mbali: polepole, Mange kimambi, Gwajima etc
Anko tom: Polepole
Sala100Na muimba taarabu ni nani?
Anko tom ni marekani au?Anko Tom: Polepole = ❌
Nimependa uwasilishaji wako wa mada, Umepita mule mule kama uandishi wa yogaTai kazoea kunyakua vifaranga bila resistance. Bosi wa kampuni akatoa agizo vifaranga vilivyopo mabanda ya mbali kwamba washughulikiwe.
Tai wanne waliotumwa kwa Anko Tom wameishia mikononi mwa wanaojulikana. Wanashindia uji na migebuka kwa sasa.
Mashavu muimba taarabu anazidi kujisogeza mwisho wa sakafu
Sala100
Tai ni Samia
Vifaranga vya mabanda ya mbali: polepole, Mange kimambi, Gwajima etc
Anko tom: Polepole