Walitumwa wakidhani wanatekeleza sheria mpya wanakula mtama tunduni

Najaribu kufungua code.
Tai = ni mkuu wa usala (TISS)
Vifaranga vilivyopo mabanda ya mbali =ni wanaharakati waliopo nchini marekani (mange kimambi na wengineo wanaokemea na kuleta hoja juu ya serikali).
Wanaojulikana = ni FBI au vyombo vya usalama vya nchi ya mbali (marekani).
Mashavu muimba taarabu ni mwenye mamlaka kumzidi mwenye kukusanya taarifa za (TISS wote)/ madam president.
πŸ€·πŸΏβ€β™‚οΈπŸ€·πŸΏβ€β™‚οΈπŸ€·πŸΏβ€β™‚οΈπŸ€·πŸΏβ€β™‚οΈπŸ€·πŸΏβ€β™‚οΈ
 
Umejaribu kulima na mtamba wangu.
 
Wameenda kucheza viwanja vya watu wenye akili wakifikiri mambo wanayofanya kiholela yanafanyika kote.
 
Ndio mambo gani haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…