umemsikia leo daily news arifu?hajajiita mtaalamu wa wall street bali mtaalamu wa masuala ya fedha anayefanya kazi katika masoko ya fedha. Hebu silikiliza vizuri mahojiano kupitia http://www.dailynews.co.tz
Binafsi nafikiri kuna aina fulani ya chuki dhidi ya huyu John Mashaka, na sidhani kama inatusaidia sana.... huu mjadala uongo wa kitoto kama mtu nafanya kazi sehemu fulani unamaana gani?au unafaida gani kwa mtu wa manerumango? Nafikiri tunamkuza sana huyu mtu hadi tunasahau mambo ya muhimu.
Hakuna Wall Street North Carolina.
BANKING
Tough times on 'Wall Street South'
Charlotte, N.C., home to Bank of America and Wachovia, is feeling banks' pain.
CHARLOTTE, N.C. The financial collapse has hit the city known as Wall Street South.
For years, Bank of America Corp. and Wachovia Corp. helped turn Charlotte into a financial powerhouse.
More click Tough times on 'Wall Street South'
Wa majuu huko mtueleweshe wall street ipo wapi? na zipo ngapi?
Siwezi kuwa na chuki na mtu kilaza mwongo kama John Mashaka. Na hatuwezi kuanza kuchambua aliyoyasema bila ya ku debunk uongo kuhusu wasifu wake. Eti tutamkuza. Huyu mtu ameshakuzwa, amewekwa kwenye home pages za gazeti la serikali wiki nzima anaongea uongo kuhusu wasifu wake akihojiwa na Michuzi. Siku hizi Daily News ni Michuzi ndio anali run? Michuzi mtu anaejipiga picha yuko dukani ananunua li dildo. Mwanamme sijui anataka sanamu ya uume ya nini. Na John Mashaka wake kama ndio analyst ambae Daily News wameona ndio anafaa kuchambua matatizo ya uchumi duniani kwa sababu ni investment banker wa Wall Street North Carolina basi tutasema jamaa ni mwongo mkubwa. Hakuna Wall Street North Carolina.
Halafu siku hizi hakuna mtu duniani anaetembea mtaani anajisifu yeye ni invesment banker. Investment banking as a field, as a profession, imepigwa dhoruba vibaya mno, huyu nae inawezekana alisha punguzwa kazi siku nyingi for all I care. Hivi anadhani kila mtu ni kilaza asiyefuatilia current affairs bana? Mfunge kamba Michuzi na wasomaji wa blog ya Michuzi. Hakuna Wall Street Charlotte.
Jamani mimi ninachoona humu ni wivu kupita kiasi. mimi mashaka, nimemtafuta hadi nikampata na kufanya naye maongezi. nadhani wengi humu wanaomjadili ni waongo na wazushi. nimiltafuta sana mwaka jana, hapa nikamuomba hadi kelly lakini sikufanikiwa
Juzi nikiwa Dar, niliambiwa kwamba yupo, nikamtafuta hadi nikampata na kufanya naye maongezi pale Garden Bistro. jamani ni mtoto mgwana sana. Hili swali la Wall-street nilimuuliza na akanijibu kwamba siku za nyuma walikuwa wanafanya kazi pengine hata kwa mwezi mzima, lakini siku hizi kutokana na wateja kupungua, huko wall-street wanaenda pengine kwa wiki au mara chache kwa mwezi.licha ya hiyo kazi zao mara nyingi inakuwa ni nje ya nchi huko sijui ni wapi... muulizeni
Ila kwa sasa mara nyingi anafanya kazi makao yao makuu huko carolina. sasa hapo angejibu vipi? nadhani nyinyi ndo mnamjenga zaidi kwa uzushi wenu. na wala tusishangae kumuona kuwa waziri wa fedha siku moja kwa maana naona humu badala ya kujadili mada zao tunawajadili watu
kuhusu mada yake, nadhani siye wenyewe ndo wenye upeo mdogo na mtu mwenye akili timamu hawezi kabisa kuzuka na kipointi komoja, hasa mwenye uwezo wa kiuchumi, kusema kwamba Iraq ndio imechangia katika msukosuko
Alitaja 1. vita iraq na afghanistan, 2. nishati 3. credit pamoja na mortage
hapa tatizo ni nini? hebu mwenye uwezo wa kukosoa hapa aseme.... na pointi zilizotulia siyo tu kuongea ovyo ovyo
... yaani wizi mtupu.
Mijadala mingi imeibuka na si jambo la ulazima uwe na degree ya uchumi ujue couses ya financial crisis duniani.Its a shame kwa msomi na mwanaharakati kama John mashaka kupotosha umma kuwa mtikisiko wa kiuchumi unaondelea sasa hivi umetokana na sababu moja wapo ikiwa vita ya Iraq na ongezeko la bei ya mafuta.
John mashaka kama msomi ni reflection ya wasomi wetu tunaowapa dhamana ya kutoa maamuzi sahihi kwa manufaa ya wananchi na matokeo yake ni kutumbukiza kwenye matatizo.
Nimemsikiliza kwenye interview yake na daily news nikasitika .is this the man called financial analyst? Muoneni muongo mkubwa wa wall street
Daily News | The leading Online news edition in Tanzania
Yoyo
.
Vinginevyo nitakuita kwamba wewe ni wale masenene ambao hawaona chema cha mwenzao. kijana ni wetu, kwa nini tusimuunge mkono badal ya kumkashifu? QUOTE]
Very interesting!
...I remember when January started his blog there was so much negativity. Yet when you really read some of January's arguments or articles, they are so intriguing and insightful. It is important to acknowledge other people's talents. God rewards blessings at different times.
There are people here who wish they could be in the same spotlight as mashaka. .. I think there is envy and fear combined when we have some intelligent and capable people such as Mashaka in the spotlight.
...After all, this man really has some humble beginnings. He had to really go throw lots of huddles to make it where he is. I am sure he had to work much harder than so many white people just to prove that regardless of his background he too can deliver.
I dont know Mashaka and also i dont care where he works but he is right .
What you all have to know is that, the global rescission is a vicious Circle which means High Oil prices, High food prices and subprime mortgages are causes.
But you all discussing and jumping on the subprime mortgage which is just one of the components which has caused the recession.
All economist agree that High Oil prices created hyperinflation and decreased the consumer confidence ,which means when people spend less it means the company loses sales and then wanapunguza wafanyakazi , then hao wafanyakazi hawawezi kulipa rent , then inasababisha more morgage default which means home value zinashuka, then banks they have to write loss on their balance sheet which reduce their ability to loan money to business, which means business they cant pay their inventories and their payroll which means they lay more people off goes on and on--------we call this in economics vicious circle.
Without Vicious Circle, the banks could have maintained to hold its old toxic asset without affecting its ability to lend which caused the credit crunch.
That why now the USA Government have different programs in place to break the vicious circle Which includes.
Tax Cut to boost consumer spending
Foreclosure mitigation - Kuzuia house Foreclosure
Bank Bailout to boost Bank Liquidity
Small Business Loan Facilitation
787billion Stimulus Package to increase consumption
Public Private partnership kununua toxic asset so that increase lending
Kama tatizo lingekuwa ni Subprime mortgage peke yake ingekuwa rahisi sana , wangenunua tu hizo toxic asset off the bank balance sheet , But we are in deep rescission which need to restore the consumer confidence , that is the whole point of stimulating the global economy it means to incearease consumption!
Mijadala mingi imeibuka na si jambo la ulazima uwe na degree ya uchumi ujue couses ya financial crisis duniani.Its a shame kwa msomi na mwanaharakati kama John mashaka kupotosha umma kuwa mtikisiko wa kiuchumi unaondelea sasa hivi umetokana na sababu moja wapo ikiwa vita ya Iraq na ongezeko la bei ya mafuta.
John mashaka kama msomi ni reflection ya wasomi wetu tunaowapa dhamana ya kutoa maamuzi sahihi kwa manufaa ya wananchi na matokeo yake ni kutumbukiza kwenye matatizo.
Nimemsikiliza kwenye interview yake na daily news nikasitika .is this the man called financial analyst? Muoneni muongo mkubwa wa wall street
Daily News | The leading Online news edition in Tanzania
- Naomba kuuliza eti jamaa ni mbongo au Mkenya?
FMES!