Wall street financial analyst is lying

 
Kaka ChingaMzalendo
I think you have stated it very clear. I hope we all will learn to respect other people instead of making personal attack. Personal attack are a proof to one's inability to analyze an issue. So thanks for also sharing your frustration. This is a very great forum for learning, but there are a few people who sometimes get carried away. I think it is time now to move forward and assume that we have all learned something out of this.

Asante sana kwa wote who have condemned personal attacks. Lets take as a lesson and moveown.

Mungu Bariki all the Jamii forums and its members.
 


- Ahsante mkuu kwa kunielewa, maana details zote za Dogo ninazo, ninamheshimu sana kutokana na shughuli zake za Charity, infact mimi hata sikujua kwamba ana mambo ya financials, ingawa ninajua hata mahali anapofanyia kazi kule NC, nilijua mkuu ni mtu wa Charities tu maana ninajua sana jinsi anavyosafiri isdhani kama anaweza kuaka one place zaidi ya wiki moja. Ningekua na nia ya kumchafua wala isingekua tatizo, lakini nilichotaka ni kujua hilo tu mkuu la uraia wake ambalo wala sio big deal, maana naona hamna jibu.

Respect and Out!

FMES
 
- Duh jamaa umemshitukia kuwa ni mtupu? Acha kunivunja Mkulu UM mbavu Bwa! ha! ha! ah! ah! ha!

Respect.

FMES!
Way back 2K9 ......mzee wa majuu ukitaka kijua mie mtupu soma hii
 
Wewe Yo Yo uko na uelewa mkubwa sana juu ya Financial Crisis, na kama huyo Financial Analyst
hakugusia kabisa hizo issues ulizozitaja basi ni kilaza wa hali ya juu sana.

Japo siwezi kumlaumu sababu hata the leading figures in the Tanzanian Financial System wanaweza
kupata shida sana kutoa maelezo tena kwa kiswahili katika level ya YO YO.
Kwa kuongezea ni kwamba, derivatives zilizokuwa zikiuzwa kama njugu kitalaamu zinaitwa
collateralized debt obligations (CDOS) na ndio hasa ulizozielezea kwa ufasaha kabisa.

Big up, Hapa umemfanya huyo Mashaka kuwa mdogo kama siafu
 
mashaka haters mpooooooooooooooooo???mwenzenu ndio kwanza anaendelea zake hata hawasikiii shame on you,wengine nadhani mkirudia kusoma mliyokuwa mnaandika kuhusu mashaka mnapata aibu kabisaa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…