Wallace Karia achana na Makonda anakupoteza

Kuhamasisha kunahitaji kuwa technical kivipi?
Hujui mpira, endelea kushabikia siasa wewe!
 
Hivi tumekosa wachezaji marufu ambao waliucheza mpira kwa mafanikio , hadi Tunamkabidhi mwanasiasa ambaye interest yake ni kupata umaarufu tu


Hivi zile mil 10 zisha gaiwa.
 
Hivi tumekosa wachezaji marufu ambao waliucheza mpira kwa mafanikio , hadi Tunamkabidhi mwanasiasa ambaye interest yake ni kupata umaarufu tu


Hivi zile mil 10 zisha gaiwa.
 
Usikute makonda ndiye aliyemuinua makonda
 
shida ni kwamba kila mu anatamani kuwa mbunge siku moja. yule karia anampango wa kuwa mbunge wa tanga mjini. ni kiongozi wa hovyo kuwahi kutokea na hatakuwa na jipya.
Tenga kacheza mpira ulishawahi muona uwanjani na jezi ya yanga? malinzi na ujinga wake hajawahi kuvaa jezi hata siku moja.
yeye na usomali wake anavaa jezi za simba pumbavu anawagawa watu
 
Nafasi ya kushinda AFCON tunayo, tukiwa na mipango thabiti na maandalizi ya kutosha. Kuingia kwenye AFCON tu haitoshi, ni lazima tujipange madhubuti mapema tuepuke aibu kwa kurudi na ushindi.
 
Wizara husika nayo ni kama imepigwa ganzi.
Haionyeshi Mkakati wowote katika maandalizi.
Huenda waliopo pale siyo watu sahihi kwenye hiyo Sekta, kuweza kufahamu changamoto za kimashindano.

Hata hiyo Taifa Stars mpaka sasa hakuna Mkakati wowote wa muda mrefu kuiandaa kwa ajili ya AFCON.

Sijui tunakwama wapi..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…