Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eeh?!! Ukisoma Historia ya wachezaji bora duniani utasikia wametokea mtaani na wanajua kupambana ile mbayaa.Kama kina Suarez, Jesus [emoji16][emoji16][emoji16]
Hao ni Mboga 7 hata rafu hawachezi [emoji23][emoji23]Isije ikawa ni timu ya watoto wa viongozi!
Hizi siasa uchwara zitatutesa sana! yaani vijana wetu wanafungwa mechi mfululizo ndani ya taifa lao? hata kama ndio mpira ulivyo ila inaumiza Sana.
Kuhamasisha kunahitaji kuwa technical kivipi?Hivi ktk historia ya mpira Tanzania huyo Karia ametokea wapi na kafanya nini huko nyuma mpaka aongoze taasisi ya mpira Tanzania? na Makonda ana background gani ktk soka hapa Tanzania mpaka apewe majukumu ambayo ni too technical kuweza kumudu ili kuwe na positive result?
Hyo ndo shida sasa kuu
Usikute makonda ndiye aliyemuinua makondaPima mafanikio yako ndani ya TFF kwa muda ambao umekaa hapo TFF. Makonda anakupotosha vitu vingi sana kwa kutaka UKUU WA KILA JAMBO. Mifano mingi ipo... hana jambo ambalo aliweza kulifanikisha yeye na likawa usipomuepuka UTAISHIA KICHAKANI NA SOKA LITATOWEKA KABISA TANZANIA.
Ushindi wa TAIFA STARS kwenda AFCON haukusababishwa na Makonda hata kidogo bali ni watu walipoungana na kuwa kitu kimoja kama taifa. Aliwatumia watu mbalimbali na wakajitoa kweli matokeo yale waliofanikisha akaanza kuwaponda mfano KONKI LIQUID.. Aliwatosa waliojitoa na kupeleka maswahiba zake IKULU na kuwaacha waliojitoa wakiiona IKULU Kupitia Azam TV haya sasa VIJANA WETU WA UNDER 17 KWAHERI tena ndani ya ARDHI YETU hii ni fedheha. Hivi tulijiandaa kwa haya matokeo, ndio maana tukajigawa vilabu nendeni kwenye michezo yenu ya ligi Kuu na watoto sijui tulimwachia nani??
Badala ya kuunganisha nguvu tukapigana kama Taifa tukaamua kujigawa.
Yanga Mtibwa Morogoro,
Coast na Simba Tanga,
Ndanda na Azam Mtwara.
Na wengine wakatawanywa hivyo hivyo. Tusimtafute mchawi tumejipiga kisu wenyewe. Kisu cha kwanza kilikuwa ni kumuondoa Kim Pousen huku tukijua kabisa tuna host haya mashindano.
Tujitathimini sisi wakubwa ndio tume waangusha Hawa vijana. Hawana majibu ya kutupa sisi ila sisi ndio tunatakiwa kuwa tathimini sahihi hawa vijana ili waweze kuendelea kuamini kuwa wao ni wapiganaji sahihi Wa Taifa hili.
Katika mfumo wa elimu tunasema "there is no poor student but there is always a poor teacher"
AFCON inaanza hata Mabango kwenye maeneo ya kuingia Nchini kama Uwanja wa Ndege Hakuna??
WALLACE KARIA UNAUA SOKA LETU
shida ni kwamba kila mu anatamani kuwa mbunge siku moja. yule karia anampango wa kuwa mbunge wa tanga mjini. ni kiongozi wa hovyo kuwahi kutokea na hatakuwa na jipya.Pima mafanikio yako ndani ya TFF kwa muda ambao umekaa hapo TFF. Makonda anakupotosha vitu vingi sana kwa kutaka UKUU WA KILA JAMBO. Mifano mingi ipo... hana jambo ambalo aliweza kulifanikisha yeye na likawa usipomuepuka UTAISHIA KICHAKANI NA SOKA LITATOWEKA KABISA TANZANIA.
Ushindi wa TAIFA STARS kwenda AFCON haukusababishwa na Makonda hata kidogo bali ni watu walipoungana na kuwa kitu kimoja kama taifa. Aliwatumia watu mbalimbali na wakajitoa kweli matokeo yale waliofanikisha akaanza kuwaponda mfano KONKI LIQUID.. Aliwatosa waliojitoa na kupeleka maswahiba zake IKULU na kuwaacha waliojitoa wakiiona IKULU Kupitia Azam TV haya sasa VIJANA WETU WA UNDER 17 KWAHERI tena ndani ya ARDHI YETU hii ni fedheha. Hivi tulijiandaa kwa haya matokeo, ndio maana tukajigawa vilabu nendeni kwenye michezo yenu ya ligi Kuu na watoto sijui tulimwachia nani??
Badala ya kuunganisha nguvu tukapigana kama Taifa tukaamua kujigawa.
Yanga Mtibwa Morogoro,
Coast na Simba Tanga,
Ndanda na Azam Mtwara.
Na wengine wakatawanywa hivyo hivyo. Tusimtafute mchawi tumejipiga kisu wenyewe. Kisu cha kwanza kilikuwa ni kumuondoa Kim Pousen huku tukijua kabisa tuna host haya mashindano.
Tujitathimini sisi wakubwa ndio tume waangusha Hawa vijana. Hawana majibu ya kutupa sisi ila sisi ndio tunatakiwa kuwa tathimini sahihi hawa vijana ili waweze kuendelea kuamini kuwa wao ni wapiganaji sahihi Wa Taifa hili.
Katika mfumo wa elimu tunasema "there is no poor student but there is always a poor teacher"
AFCON inaanza hata Mabango kwenye maeneo ya kuingia Nchini kama Uwanja wa Ndege Hakuna??
WALLACE KARIA UNAUA SOKA LETU
Ligi kukosa mdhamini na yenyewe ni mafanikio?Uongozi wa Karia ndio uongozi ambao umeleta mafanikio makubwa ya soka ktk Tanzania.
Hutaki acha, ataendelea kumshirikisha mhamasishaji namba moja wa taifa, Mr. Paul Makonda.