Wallace Karia akamatwe mara moja kwa kuhujumu Mechi ya Simba na Yanga , akibanwa atawataja waliomtuma

Ni vema jambo hili likafanyika haraka ili mtuhumiwa huyu asikimbie , maana zipo tetesi kwamba Karia ni raia halali wa Somalia , amehujumu mechi hii kishamba sana na asipokamatwa nitashangaa sana !

Anapaswa kufikishwa mahakamani kwa Tuhuma za Utapeli na Uhujumu uchumi , tunaamini huko mahakamani atawataja wote alioshirikiana nao kwenye hujuma hii
Umechelewa sana...
enzi za kukamata wahujumu uchumi zilishapita..
cheza hili segere taratibu
utatia akili tu
 
Tuache Kudanganyana Ninachojua mimi kwenye Serikali hii ya Chama cha Mapinduzi linapokuja suala la Maagizo hakuna mwenye Ubavu wa kuhoji Vifungu vya Sheria vikafanya kazi That's Why Ndugai anavunja Sheria Waziwazi na hakuna Mwenye uwezo wa kumfanya chochote.
Hivyo kwasababu hupo pale kwenye Nafsi ndiyo unaanza kutaka Sheria, Lakini nakuhakikishia hata ungelikuwa wewe pale TFF ungeumia moyoni lakini usingethubutu kuhoji Barua ya Bashungwa. Tunamlaumu bure Karia.
So kumlaumu ndugai kwa udhaifu wake ni sawa ila kumlaumu karia kwa udhaifu wake anaonewa!
 
Ni vema jambo hili likafanyika haraka ili mtuhumiwa huyu asikimbie , maana zipo tetesi kwamba Karia ni raia halali wa Somalia , amehujumu mechi hii kishamba sana na asipokamatwa nitashangaa sana !

Anapaswa kufikishwa mahakamani kwa Tuhuma za Utapeli na Uhujumu uchumi , tunaamini huko mahakamani atawataja wote alioshirikiana nao kwenye hujuma hii
TFF wamefanya uhun, walijui kitu kitakachotokea, nadhan walikuwa na conflict of interest na serikali, wakawategea Bomu na kweli limelipuka, hata ukiangalia lile tamko lao ni kama wanajitoa kwenye msala waliokuwa wanajua unakuja na kuwasukumia serikali.
 
Wewe huna akili hata kidogo. Unadhani wizara itajiamulia jambo zito kama hilo bila kupokea maagizo kutoka juu? Rais yuko live kuzindua likitabu lisilo na maana muda wa mechi, unadhani mechi ingewezekena kuchezwa huku Rais akiwa anahutubia?

Rais Samia ni mhusika mkuu wa hili sakata, hata kama Bashungwa atatolewa kama sadaka,kama nyinyi wapumbavu wachache mnavyotaka.
 
Fifa hairuhusu mambo ya serikali kuingilia mipira, mpira ungekuwa kama unavyofikiri hata ligi ya uingereza mechi nyingi zingeingiliwa ratiba kisa events ya viongozi wakubwa wa kiserikali.
 
Sasa tumdake nani ?
 
Ni vema jambo hili likafanyika haraka ili mtuhumiwa huyu asikimbie , maana zipo tetesi kwamba Karia ni raia halali wa Somalia , amehujumu mechi hii kishamba sana na asipokamatwa nitashangaa sana !

Anapaswa kufikishwa mahakamani kwa Tuhuma za Utapeli na Uhujumu uchumi , tunaamini huko mahakamani atawataja wote alioshirikiana nao kwenye hujuma hii
Anatakiwa awe amekamatwa huyo
 
Niliona clip moja msemaji wa Simba anasema tukicheza nao tarehe 8, 18 na 28 hatutoki. Na tukicheza nao tarehe 2, 12 na 22 hawatoki. Halafu jana ilikuwa tarehe 8, kuna haja ya kujiuliza nani alivuruga mechi kweli na majibu yako hapo.
Inasikitisha sana kama uwekezaji mkubwa unaotajwa umewekezwa hadi wizarani, BMT na TFF.
Na wewe unaamini kwenye nyota? Kwani ilivyopelekwa saa1.00 usiku, tarehe ingekuwa tofauti?
 
Fifa hairuhusu mambo ya serikali kuingilia mipira, mpira ungekuwa kama unavyofikiri hata ligi ya uingereza mechi nyingi zingeingiliwa ratiba kisa events ya viongozi wakubwa wa kiserikali.
Kwamba Tff,wangeigomea Serikali sio😅.Hivyo vitu mnavyoviandika hapa, kwa bongo ni very theoretical na havifuatwi. Yani Rais anahutubia, afu Tff hawahawa wapewe maaigizo ya kupeleka muda mbele wagoner? Sio kwa nchi za AFRIKA.
 
Back
Top Bottom