NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 12,322
- 10,920
Hili liwafikie ile TIMU ya muhuni moto wa mjini.
Hao ni wale wa dhambi kubwa na ndogo.Unakuta jitu linalalamikia kwamba huku TFF mambo hayaendi sawa inatakiwa Karia aruhusu uchaguzi uwe huru na wa kidemokrasia wakati huo huo hilo hilo jitu linakwambia 2025 tunatiki, mama Samia mitano tena... Sasa ina maana lenyewe linaona kule Ccm demokrasia na uchaguzi huru havihitajiki kabisa. Huu ni unafiki mkubwa....
Ndo maana majitu kama ya akina Profesa Msola na majinga menzake natamani yaendelee kuchezea kichapo cha mjinga mwenzao Karia mpaka akili iwakae sawa...
TUNAPOTAKA REFORMS NI KWA AJILI YA MAISHA KWA UJUMLA SIO KWA AJILI YA SIASA TU.
Kwa nini anaogopa uchaguzi huru na wa haki??Ila pamoja na yote, Karia kajitahidi sana kwa maendeleo ya soka la nchi hii
Last born anae wachapaga mfurulizo?Ile pingamizi ya wale lastborn imeishia wapi kwani,si walimuwekea pingamizi aondolewe?
Aisee..ila Karia master sana!
Uto kama Uto wameyakanyaga safari hii..
Yap,anasaidiwa sana kulainisha wengine ndio apate ubingwa,kupitia kuhonga timu,wachezaji,marefa na kila kitu,ndio maana kimataifa hatoboiLast born anae wachapaga mfurulizo?
Huko nako anapasua.Niliwaambia watu kwenye Ile thread ya Yanga kuweka pingamizi wajuzi wa mambo wakaja na matusi na kejeli.Tff hakuna uchaguzi wenye mamlaka wanaamua nani akae.Walec Karia ata kwama kule Baraza la michezo kwa kukiuka kanuni.
Sana. Tatizo linaanzia kwenye madudu aliyoyafanya pale tiefuefu. Kuna ubadhirifu mkubwa. Kwa hiyo anaogopa akija mtu mwingine pale alienyooka. Mfano akaamua kuachana na haya kibongo bongo kubebana behana hivi yule atatupwa ndan. Ksbb mpaka sasa hivi kwa mawe anayopigwa kwa mtu yoyote angetema njeKaria ni mhuni
Kuna kikomo.Je utaratibu umebadilika kwa sasa hiyo nafasi haina kikomo ?
Anabidi kukaa pembeni miaka 8 inamtosha kwa sasaKuna kikomo.
Kwa kanuni za hivi karibuni za FIFA unaweza kugombea mara 3 ktk vipindi vya miaka mi3 mi3. Hiyo kanuni nafikiri ilitoka mwaka juzi FIFA kama sikosei.
Sasa ikivyotoka hiyo kanuni FIFA ya kila baada ya miaka mi3 uchaguzi. Kelia akakaa na kamati yake wenyewe badala ya miaka mi3 wakaacha mi4 iliyokuwepo mwanzo wakaifanya mara 3. Bahati mbaya kanuni yoyote lazima BMT waipitishe. Sasa yeye nafikiri aliogopa kuipitisha BMT ksbb tu alijua kule atagonga mwamba. Akaamua kubaki nayo kihuni. Vinginevyo huu mwaka ulikuwa wa mwisho kwake.
NB;-inasemakana BMT wamemuwekea pingamizi ksbb ya hiyo kanuni haikudhinishwa na BMT.
Tuonyeshe kombe la kimataifa mlilo toboaYap,anasaidiwa sana kulainisha wengine ndio apate ubingwa,kupitia kuhonga timu,wachezaji,marefa na kila kitu,ndio maana kimataifa hatoboi
Lastiboni anajisahau sana kwani Raisi wake aligombea na nani?Ile pingamizi ya wale lastborn imeishia wapi kwani,si walimuwekea pingamizi aondolewe?
Tuache ushabiki wa maandazi! Mimi ni Mnyama lakini siwezi kushadadia upuuzi kama huu kwa sababu hili sio suala la Uto bali ni suala la mpira! Upuuzi kama huu ulibaki kidogo tu uvuruge ligi yenu, tena juzi tu hapa! Sasa hivi kweli mara hii tumeshasahau? Hivi lini tutajifunza kuwa mashabiki wa soka badala ya kuwa maandazi kwa kila jambo hata kama ni la kijinga lakini tu tunahisi linamtesa mtani? Kwani hao Uto wataathirika nini na sisi tutanufaika nini kwenye huu ushamba?Aisee..ila Karia master sana!
Uto kama Uto wameyakanyaga safari hii..
Hapo ndipo mnafeli! Issue sio kutokuwa na mpinzani bali mazingira yanayopelekea kutokuwa na mpinzani! Hivi huu ujinga si ndo ule kwenye siasa kila uchaguzi waliokuwa wanakosea kujaza fomu ni upinzani tu lakini sio ccm?Lastiboni anajisahau sana kwani Raisi wake aligombea na nani?
Bmt awafui dafu kwa msomaliSana. Tatizo linaanzia kwenye madudu aliyoyafanya pale tiefuefu. Kuna ubadhirifu mkubwa. Kwa hiyo anaogopa akija mtu mwingine pale alienyooka. Mfano akaamua kuachana na haya kibongo bongo kubebana behana hivi yule atatupwa ndan. Ksbb mpaka sasa hivi kwa mawe anayopigwa kwa mtu yoyote angetema nje
Lakini kashikilia bomba kweli kweli. Ila BMT nai wameshtuka wamemuwekea pingamizi.