Huyo Wallace Kalia asipokuwa makini hatamaliza miaka 4 mwingine atajikyta jela.Duuhh huku CCM huku Karia ameamua kukalia kiti milele
Waliokosa wadhamini ni uzembe wao. Hata wakipitishwa hawawezi kupata kura. Hizi sheria zipo lakini wanakaa kimya baadaye wanaanza kulalamika.Atakayekujibu ajibu pia kwann wagombea wengine wote wakose ila yeye tu Karia ndio apate?
Kampeni unaanza mapema kwa kuongea na wadhamini ana kwa ana. Hiyo iko hivyo hata kwenye siasa.Mtu kama Ali Mayay anakosaje watu watano tu wa wakumdhamini?Kwakweli sijui, kina Mayay ndio wanajua.
Kama walizifahamu mapema basi wamechemka. Mambo mazuri yanahitaji kupambaniwa!
Lakini tujiulize, kwa mfano, unajua unahitaji wadhamini, je utasubiri muda wa uchaguzi au utaanza kampeni mapema? ukianza kampeni mapema ukibainika unatolewa kwenye mchakato.
Ukisubiri muda wa endorsement unakuta ni muda finyu sana kana kwamba mpaka uzunguke mikoani unakuta muda haukutoshi. Pia, muda huo ukipiga simu ya mjumbe hapokei au anapokea anakwambia tayari nimeishamdhamini mgombea mwingine.
Sehemu yoyote yenye ridhiki kwa Afrika hasa kusini mwa jangwa la sahara ina utata sana. Kumbe reforms ni kila sehemu zinahitajika.
Kuwekewa pingamizi na kushinda haina maana kuwa unasifa jifunze zaidi kujenga hoja. Pingamizi ni mambo ya kisheria siyo kubetIle pingamizi ya wale lastborn imeishia wapi kwani,si walimuwekea pingamizi aondolewe?
Basi wewe mwenye hoja Karia kaondolewa asigombee,ukiwa Yanga akili nadhani huwa zinahama hata kama ulisoma,🤣🤣🤣Kuwekewa pingamizi na kushinda haina maana kuwa unasifa jifunze zaidi kujenga hoja. Pingamizi ni mambo ya kisheria siyo kubet
Mambo ksma yapi ayo yangemfanya ajiuzuru??Kwa mataifa ya mpira huyu karia wala hata asingethubutu kuchukua form ya kugombea tena, maana kwa mambo ya ovyo ovyo yanayoendelea kwenye soka letu yalitosha kumfanya ajiuzulu.
Kushindwa kwake kuhandle siasa za simba na yanga ambazo zinaleta kichefu chefu kwenye soka letu na kuchafua taswira nzima ya mchezo huo, na hata suala la Yanga kutokulipwa zawadi ya mshindi ya michuano ya msimu uliopita kiasi cha kuharibu reputation ya mdhamini... hapo bado sijaongelea vilio vya waamuzi wanaoendekeza rushwa.. kwa ufupi yapo mengi sana yanayo mdisqualify kuendelea kukalia hicho kiti.Mambo ksma yapi ayo yangemfanya ajiuzuru??
na mimi naomba kujua maana ya endorsementMwenye uelewa hiyo endorsement ndo IPO aje?