Maswa Yetu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2023
- 1,398
- 2,619
Hakika mkuuHii ni kituko na serikali ya CHURA a.k.a Dalali nayo inadharau sana watanganyika.
KAZI ni kipimo cha utu
Good pointSerikali ikianza kukwepa majukumu yake na kukimbilia vitu vya kisiasa visivyo na maana mtu masikini hugeuka kuwa kama mpira wa kona.
Mwl Nyerere alishaonya kwenye moja ya hotuba zake za mwaka 1995 kuwa serikali ikiwa corrupt ( serikali ya wala rushwa) watu masikini hawanaa kitu kabisa kwenye hiyo nchi.
Aibu tuliyoiona ya fainali ya CAF ( Simba vs Berkane) kuhamishiwa Zanzibar kisa uwanja wa Mkapa ni mbovu ni sababu ya rushwa kwa sababu kama ni hela za kukarabati uwanja viongozi walishapewa zaidi ya mwaka uliopita.
Hata hili sekeseke la dabi ya kariakoo kuahirishwa march 8 ni kwa sababu ya rushwa kutapakaa kila kona na serikali kujiweka pembeni.
Mi naamini serikali ingekuwa imara kama ile ya Magufuli, hakuna kiongozi yoyote wa Tff au bodi ya ligi angeweza kuchezea hela za wapenda mpira kama wanavyofanya sasa hivi.
Sasa hivi Wallace Karia na bodi ya ligi wamegeuka watetezi na wasemaji wa Simba! Yani sasa hivi huwezi kutofautisha bodi ya ligi na Simba.
Kujiamini kote kwa Wallace Karia kumeanza mwaka 2022 kwa sababu anajua viongozi wa serikali hamna kitu ,hawawezi kumchukulia hatua hivyo anaendesha mpira kama anaendesha familia yake.
Utamfanyaje?Huyo tutadeal nae after 15 June akiikata yanga point wallah hatakuja kusahau maisha yake yote
Kwa nani?Yake mabango wanayoingia nayo mashabiki wa yanga wakiwemo wa Simba unasemaje.
Nyie si ndio mnajiita timu ya wananchi.
Serikali ikianza kukwepa majukumu yake na kukimbilia vitu vya kisiasa visivyo na maana mtu masikini hugeuka kuwa kama mpira wa kona.
Mwl Nyerere alishaonya kwenye moja ya hotuba zake za mwaka 1995 kuwa serikali ikiwa corrupt ( serikali ya wala rushwa) watu masikini hawanaa kitu kabisa kwenye hiyo nchi.
Aibu tuliyoiona ya fainali ya CAF ( Simba vs Berkane) kuhamishiwa Zanzibar kisa uwanja wa Mkapa ni mbovu ni sababu ya rushwa kwa sababu kama ni hela za kukarabati uwanja viongozi walishapewa zaidi ya mwaka uliopita.
Hata hili sekeseke la dabi ya kariakoo kuahirishwa march 8 ni kwa sababu ya rushwa kutapakaa kila kona na serikali kujiweka pembeni.
Mi naamini serikali ingekuwa imara kama ile ya Magufuli, hakuna kiongozi yoyote wa Tff au bodi ya ligi angeweza kuchezea hela za wapenda mpira kama wanavyofanya sasa hivi.
Sasa hivi Wallace Karia na bodi ya ligi wamegeuka watetezi na wasemaji wa Simba! Yani sasa hivi huwezi kutofautisha bodi ya ligi na Simba.
Kujiamini kote kwa Wallace Karia kumeanza mwaka 2022 kwa sababu anajua viongozi wa serikali hamna kitu ,hawawezi kumchukulia hatua hivyo anaendesha mpira kama anaendesha familia yake.
No Reforms No Elections.Serikali ikianza kukwepa majukumu yake na kukimbilia vitu vya kisiasa visivyo na maana mtu masikini hugeuka kuwa kama mpira wa kona.
Mwl Nyerere alishaonya kwenye moja ya hotuba zake za mwaka 1995 kuwa serikali ikiwa corrupt ( serikali ya wala rushwa) watu masikini hawanaa kitu kabisa kwenye hiyo nchi.
Aibu tuliyoiona ya fainali ya CAF ( Simba vs Berkane) kuhamishiwa Zanzibar kisa uwanja wa Mkapa ni mbovu ni sababu ya rushwa kwa sababu kama ni hela za kukarabati uwanja viongozi walishapewa zaidi ya mwaka uliopita.
Hata hili sekeseke la dabi ya kariakoo kuahirishwa march 8 ni kwa sababu ya rushwa kutapakaa kila kona na serikali kujiweka pembeni.
Mi naamini serikali ingekuwa imara kama ile ya Magufuli, hakuna kiongozi yoyote wa Tff au bodi ya ligi angeweza kuchezea hela za wapenda mpira kama wanavyofanya sasa hivi.
Sasa hivi Wallace Karia na bodi ya ligi wamegeuka watetezi na wasemaji wa Simba! Yani sasa hivi huwezi kutofautisha bodi ya ligi na Simba.
Kujiamini kote kwa Wallace Karia kumeanza mwaka 2022 kwa sababu anajua viongozi wa serikali hamna kitu ,hawawezi kumchukulia hatua hivyo anaendesha mpira kama anaendesha familia yake.
NRNEUsichanganye mpira na siasa mzee baba
Hahahah pesa zipi?Msomali anapiga pesa za umma naye
Mbona kama mmechanganyikiwaSerikali ikianza kukwepa majukumu yake na kukimbilia vitu vya kisiasa visivyo na maana mtu masikini hugeuka kuwa kama mpira wa kona.