Wallace Karia anaidharau sana serikali ya awamu ya sita, Kiburi chake kinatisha

Wallace Karia anaidharau sana serikali ya awamu ya sita, Kiburi chake kinatisha

Serikali ikianza kukwepa majukumu yake na kukimbilia vitu vya kisiasa visivyo na maana mtu masikini hugeuka kuwa kama mpira wa kona.
Mwl Nyerere alishaonya kwenye moja ya hotuba zake za mwaka 1995 kuwa serikali ikiwa corrupt ( serikali ya wala rushwa) watu masikini hawanaa kitu kabisa kwenye hiyo nchi.
Aibu tuliyoiona ya fainali ya CAF ( Simba vs Berkane) kuhamishiwa Zanzibar kisa uwanja wa Mkapa ni mbovu ni sababu ya rushwa kwa sababu kama ni hela za kukarabati uwanja viongozi walishapewa zaidi ya mwaka uliopita.
Hata hili sekeseke la dabi ya kariakoo kuahirishwa march 8 ni kwa sababu ya rushwa kutapakaa kila kona na serikali kujiweka pembeni.
Mi naamini serikali ingekuwa imara kama ile ya Magufuli, hakuna kiongozi yoyote wa Tff au bodi ya ligi angeweza kuchezea hela za wapenda mpira kama wanavyofanya sasa hivi.
Sasa hivi Wallace Karia na bodi ya ligi wamegeuka watetezi na wasemaji wa Simba! Yani sasa hivi huwezi kutofautisha bodi ya ligi na Simba.
Kujiamini kote kwa Wallace Karia kumeanza mwaka 2022 kwa sababu anajua viongozi wa serikali hamna kitu ,hawawezi kumchukulia hatua hivyo anaendesha mpira kama anaendesha familia
Nadhani dish limeyumba, unadhani TFF ndio wanaokarabati uwanja?, unadhani Karia ndiye aliyepiga simu Simba wazuiwe kufanya mazoezi? Kwani Kasongo WA BODI YA LIGI NI shabiki WA timu gani?
 
Mama hatakagi dharau soon kiburi cha huyu mzee kitaisha!
 
Back
Top Bottom