Wallace Karia anaidharau sana serikali ya awamu ya sita, Kiburi chake kitaua soka la Tanzania.

Maswa Yetu

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2023
Posts
1,398
Reaction score
2,619
Serikali ikianza kukwepa majukumu yake na kukimbilia vitu vya kisiasa visivyo na maana mtu masikini hugeuka kuwa kama mpira wa kona.
Mwl Nyerere alishaonya kwenye moja ya hotuba zake za mwaka 1995 kuwa serikali ikiwa corrupt ( serikali ya wala rushwa) watu masikini hawanaa kitu kabisa kwenye hiyo nchi.
Aibu tuliyoiona ya fainali ya CAF ( Simba vs Berkane) kuhamishiwa Zanzibar kisa uwanja wa Mkapa ni mbovu ni sababu ya rushwa kwa sababu kama ni hela za kukarabati uwanja viongozi walishapewa zaidi ya mwaka uliopita.
Hata hili sekeseke la dabi ya kariakoo kuahirishwa march 8 ni kwa sababu ya rushwa kutapakaa kila kona na serikali kujiweka pembeni.
Mi naamini serikali ingekuwa imara kama ile ya Magufuli, hakuna kiongozi yoyote wa Tff au bodi ya ligi angeweza kuchezea hela za wapenda mpira kama wanavyofanya sasa hivi.
Sasa hivi Wallace Karia na bodi ya ligi wamegeuka watetezi na wasemaji wa Simba! Yani sasa hivi huwezi kutofautisha bodi ya ligi na Simba.
Kujiamini kote kwa Wallace Karia kumeanza mwaka 2022 kwa sababu anajua viongozi wa serikali hamna kitu ,hawawezi kumchukulia hatua hivyo anaendesha mpira kama anaendesha familia yake.
 
No reforms, No election
 
Sasa ile aibu ni ya Karia au Gavoo? Nani mmiliki wa uwanja ulioshindikana kuchezewa fainali?TFF hawahusiki uwanja upo chini ya Wizara na shekeli zote za ukarabati wako nazo wao
 

Attachments

  • -rrrx7n.jpg
    260.3 KB · Views: 37
Usiingise serikali wala siasa ktk ujinga wa akina hersi na gsm yao
 
Sasa ile aibu ni ya Karia au Gavoo? Nani mmiliki wa uwanja ulioshindikana kuchezewa fainali?TFF hawahusiki uwanja upo chini ya Wizara na shekeli zote za ukarabati wako nazo wao
Soma mpaka mwisho
 
Sasa ile aibu ni ya Karia au Gavoo? Nani mmiliki wa uwanja ulioshindikana kuchezewa fainali?TFF hawahusiki uwanja upo chini ya Wizara na shekeli zote za ukarabati wako nazo wao
Soma mpaka mwisho
 
Muda utaongea...

Cc: Mahondaw
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
 
Mambo mengine sio kumlaumu yeye!!uwanja unapogeuzwa sehemu ya matamasha unategemea nini?!!serikali wana kodisha uwanja huo yeye anauwezo wa kukataa?!!
 
Mambo mengine sio kumlaumu yeye!!uwanja unapogeuzwa sehemu ya matamasha unategemea nini?!!serikali wana kodisha uwanja huo yeye anauwezo wa kukataa?!!
Yeye ndiyo kiongozi wa mpira Tanzania
 
Mjane wa Magufuli bado hujakubali matokeo tu utaomboleza hadi lini? Mbona mke mkubwa Mama Janet alisha move on wewe kila siku unasumbua humu kuhusu Marehemu, jitulize utaolewa tena.
 
Soka wapi lishaingiliwa na siasa!! Watu mnaingia uwanjani na tshirt zisizo za kimichezo bali za ku promote siasa na mabango tele ya kisiasa.
 
Karia hausiki na maswala ya uwanja na uwanja kuwa mbovu ni ukiritimba na wizi wa serikali yenyewe inayoongozwa na wezi watupu ambao ww unadai karia anawadharau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…