Maswa Yetu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2023
- 1,398
- 2,619
- Thread starter
- #21
Vipi kuhusu kuahirishwa kwa dabiKaria hausiki na maswala ya uwanja na uwanja kuwa mbovu ni ukiritimba na wizi wa serikali yenyewe inayoongozwa na wezi watupu ambao ww unadai karia anawadharau.