OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
umesema tulikuwa! binadamu asiyejitathmini ni punguaniLakini hii tabia ya kuwapapatikia wageni mlianza Simba wakati huo timu yenu ikiwa dhaifu.
Rais wa TFF anashindwa kuelewa jambo moja zile tabia za KIJINGA JINGA zikifa na timu ya Yanga inakufa, sasa wataishi vipi bila UJINGA."Nimeshaongea sana na hivi vilabu kuwa vifanye vizuri michuano ya Kimataifa ya CAF".
"Nasisitiza wazingatie taaluma zaidi, waachane na mambo ya kijingajinga, mambo ya ukandokando wahakikishe wanakuwa serious kwenye mashindano hayo, lakini pia ni vizuri zile tabia za kupokea wageni zife". Rais wa TFF Wallace Karia.View attachment 2320331
Lugha ngumu hiyo uliyoitumia wakikuelewa nistue [emoji3][emoji3][emoji3]
Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
Uyu msomali kawa police siku hizi
Unaujua/umeusikia wimbo wa "uzalendo umetushinda"? Uliimbwa lini, wapi na ni timu ipi iliimba na kwa nini waliimba? Ukipata jibu rejea kwenye jibu lakoIle mechi ya Yanga dhdi ya Mazembe ambayo Manji alilipia viingilio vya mashabiki ndio ilikuwa chanzo cha Yanga kuanza kuwapokea wageni. Hata kabla ya hiyo mechi Simba walikuwa tayari wameanza tabia ya kuwashangilia wageni. Kama unakumbuka vizuri mpaka Yanga waliingia kwenye mgogoro na TFF
Huwa mnakuwa mmekosa ya kufanya, eeeh?Tunaenda kuwapokea kama kawaida na cha kutufanya hakipo ilimradi hatuvunji sheria
Jamaa kakosa kabisa professionalism, so hapo ndo Rais wa soka wa nchi anaiambia Afrika upuuzi huo"Nimeshaongea sana na hivi vilabu kuwa vifanye vizuri michuano ya Kimataifa ya CAF".
"Nasisitiza wazingatie taaluma zaidi, waachane na mambo ya kijingajinga, mambo ya ukandokando wahakikishe wanakuwa serious kwenye mashindano hayo, lakini pia ni vizuri zile tabia za kupokea wageni zife". Rais wa TFF Wallace Karia.View attachment 2320331
Kuna jamaa anaingia saa nne kutoka Morogoro, naomba ukampokee stendi ya MagufuliSasa kama wewe hauji, pumzisha kitambi hicho nyumbani tu mkuu
Kama unabisha nioneshe sheria, taratibu na kanuni za TFF zinazosema MARUFUKU kupokea wageni
Hatuhusiki nae mkuuKuna jamaa anaingia saa nne kutoka Morogoro, naomba ukampokee stendi ya Magufuli
wewe wasemaHuwa mnakuwa mmekosa ya kufanya, eeeh?
Haya rudi kwenye madaSema karia twende mbele turudi nyuma ni shabiki wa Simba Lia Lia
Na wewe tabia ya kuwanyima makocha mikono wakati wa kukabidhi zawadi uache kabisa"Nimeshaongea sana na hivi vilabu kuwa vifanye vizuri michuano ya Kimataifa ya CAF".
"Nasisitiza wazingatie taaluma zaidi, waachane na mambo ya kijingajinga, mambo ya ukandokando wahakikishe wanakuwa serious kwenye mashindano hayo, lakini pia ni vizuri zile tabia za kupokea wageni zife". Rais wa TFF Wallace Karia.View attachment 2320331
Meko alianzaga hivi hivi, kiongozi yoyote anahitaji hekima sana ya kutambua mipaka ya Kila jambo otherwise atajikuta anageuka mtawala. Nikimwangalia KARIA kwa jicho la mbali anakopeleka soka ni kubaya sana- anatengeneza bad precedents, based on my personal assessments Hana hekima ya kiongozi, hajui mipaka Wala maadili yake ya kazi, na anachukulia vitu too personal which is very bad.Sheria haiwezi kuandika kila kitu,lakini kuna Ethics pia. Kwani nyie mizoga mpaka mkatazwe mambo common kupitia sheria