Wallace Karia: Ni vizuri zile tabia za kupokea wageni(michezo ya Kimataifa) zife

Wallace Karia: Ni vizuri zile tabia za kupokea wageni(michezo ya Kimataifa) zife

Mie ni shabiki kindakindaki wa TP Mazembe, yaani chama langu Mazembe lije hapa halafu kulipokea liwe kosa?! Kweli hili kolo la kisomali limekosa vitu vya maana vya kusema.
 
"Nimeshaongea sana na hivi vilabu kuwa vifanye vizuri michuano ya Kimataifa ya CAF".

"Nasisitiza wazingatie taaluma zaidi, waachane na mambo ya kijingajinga, mambo ya ukandokando wahakikishe wanakuwa serious kwenye mashindano hayo, lakini pia ni vizuri zile tabia za kupokea wageni zife". Rais wa TFF Wallace Karia.View attachment 2320331
Rais wa TFF anashindwa kuelewa jambo moja zile tabia za KIJINGA JINGA zikifa na timu ya Yanga inakufa, sasa wataishi vipi bila UJINGA.
 
Ile mechi ya Yanga dhdi ya Mazembe ambayo Manji alilipia viingilio vya mashabiki ndio ilikuwa chanzo cha Yanga kuanza kuwapokea wageni. Hata kabla ya hiyo mechi Simba walikuwa tayari wameanza tabia ya kuwashangilia wageni. Kama unakumbuka vizuri mpaka Yanga waliingia kwenye mgogoro na TFF
Unaujua/umeusikia wimbo wa "uzalendo umetushinda"? Uliimbwa lini, wapi na ni timu ipi iliimba na kwa nini waliimba? Ukipata jibu rejea kwenye jibu lako
 
Vinye sindano imewaingia hiyo

Nakumbuka Al ahly wanakuja nanyie eti mmevalia kanzu zenu na viremba vya mchongo vya bei nafuu na tende zenu eti mnawashangilia

Kilichowakuta kwa ule mgoli wa Luis hamkuamini macho yenu mlipoteana gafla
 
Hilo dongo wamepigwa viongozi wa yanga mechi ya kaizer chief wakiongozwa na senzo na yule msekule pamoja na engineer hersi sio tu waliwapokea bali pia waliwatahadharisha kuhusu simba Kwamba inamwaga dawa vyumbani na nguruwe pori ndo mtoa hyo habari mpaka aliweka waraka Instagram akajishtukia akafuta hilo dongo ni indirect.
 
"Nimeshaongea sana na hivi vilabu kuwa vifanye vizuri michuano ya Kimataifa ya CAF".

"Nasisitiza wazingatie taaluma zaidi, waachane na mambo ya kijingajinga, mambo ya ukandokando wahakikishe wanakuwa serious kwenye mashindano hayo, lakini pia ni vizuri zile tabia za kupokea wageni zife". Rais wa TFF Wallace Karia.View attachment 2320331
Jamaa kakosa kabisa professionalism, so hapo ndo Rais wa soka wa nchi anaiambia Afrika upuuzi huo

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Sasa kama wewe hauji, pumzisha kitambi hicho nyumbani tu mkuu
Kama unabisha nioneshe sheria, taratibu na kanuni za TFF zinazosema MARUFUKU kupokea wageni
Kuna jamaa anaingia saa nne kutoka Morogoro, naomba ukampokee stendi ya Magufuli
 
"Nimeshaongea sana na hivi vilabu kuwa vifanye vizuri michuano ya Kimataifa ya CAF".

"Nasisitiza wazingatie taaluma zaidi, waachane na mambo ya kijingajinga, mambo ya ukandokando wahakikishe wanakuwa serious kwenye mashindano hayo, lakini pia ni vizuri zile tabia za kupokea wageni zife". Rais wa TFF Wallace Karia.View attachment 2320331
Na wewe tabia ya kuwanyima makocha mikono wakati wa kukabidhi zawadi uache kabisa
 
Sheria haiwezi kuandika kila kitu,lakini kuna Ethics pia. Kwani nyie mizoga mpaka mkatazwe mambo common kupitia sheria
Meko alianzaga hivi hivi, kiongozi yoyote anahitaji hekima sana ya kutambua mipaka ya Kila jambo otherwise atajikuta anageuka mtawala. Nikimwangalia KARIA kwa jicho la mbali anakopeleka soka ni kubaya sana- anatengeneza bad precedents, based on my personal assessments Hana hekima ya kiongozi, hajui mipaka Wala maadili yake ya kazi, na anachukulia vitu too personal which is very bad.
Ni aina ya mtu ambaye amekuwa anaingiza siasa kwenye michezo na kutaka watu wafanye based na anachokiamini yeye licha ya kwamba ni kinyume Cha Sheria na maadili. Mfano kuingiza mambo ya kumponda Lissu na CDM kwenye soka ambayo ni kinyume na maadili kabisa.
 
Back
Top Bottom