Wallace Karia: Ni vizuri zile tabia za kupokea wageni(michezo ya Kimataifa) zife

Wallace Karia: Ni vizuri zile tabia za kupokea wageni(michezo ya Kimataifa) zife

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Posts
23,718
Reaction score
66,267
"Nimeshaongea sana na hivi vilabu kuwa vifanye vizuri michuano ya Kimataifa ya CAF".

"Nasisitiza wazingatie taaluma zaidi, waachane na mambo ya kijingajinga, mambo ya ukandokando wahakikishe wanakuwa serious kwenye mashindano hayo, lakini pia ni vizuri zile tabia za kupokea wageni zife". Rais wa TFF Wallace Karia.
20220810_193824.jpg
 
"Nishaongea sana na hivi vilabu kuwa vifanye vizuri michuano ya Kimataifa ya CAF, nasisitiza wazingatie taaluma zaidi, waachane na mambo ya kijingajinga, mambo ya ukando kando wale serious, lakini pia ni vizuri zile tabia za kupokea wageni zife". Rais wa TFF Wallace KariaView attachment 2320331
Hili ndo kiongozi wa nchi Kisoka amekwenda kuiambia Dunia? Ama kweli watanzania mna hasara.
 
Back
Top Bottom