MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole kwa Kufungwa Dar es Salaam ( Tanzania ) Kimoko na Port Harcourt ( Nigeria ) Kimoko Ndugu.Ndio maana timu ilienda kufichwa karatu, hii ndio Simba mbovu katika miaka ya karibuni. Katika wachezaji wote wapya hakuna Wa kumzidi Ajib ambaye anasotea bench. Apo ndio wana wiki ya tano ya pre season na mechi zaidi ya tano na kiwango ndio hicho.
Alinibandua Nje Ndani kama alivyofanya Kwako?Kama Simba ilivyo tolewa na UD Songo.
Ni kweli Simba alitolewa na UD Songo lakini si kwa kufungwa bali ni kanuni.Pili nafasi ile ya uwakilishi Simba alikuwa kaipambania lakini nyinyi sasa ,nafasi ya viti maalumu bado mnaichezeaKama Simba ilivyo tolewa na UD Songo.
Umesema ukweli mtupu.Simba uwezo wanaona ,angalia walipofungwa walivyochangamka ,sema walifungwa zimebaki dk chache lakini unaona walivyokimbiza pia ,Sina wasiwasi na Simba tutafika mbali
Haina ubishi iyoKuna Timu kwa nia njema tu naionya kwakuwa bado ina Jeraha la Kufungwa mara mbili Dar es Salaam na Port Harcourt isikubali Kucheza Mchezo wake wa Ngao ya Hisani (Jamii) na Simba SC tarehe 25 Septemba, 2021.
Kwa aina ya Mpira mkubwa (mwingi) na wa Kiwango cha Kimataifa iliyoucheza ( nikifurahishwa ) zaidi na Kasi ya Wachezaji, Pumzi, Nguvu na Ari ya Kiushindani waliyonayo naiona hiyo Timu itakayocheza nayo Jumamosi ijayo itafungwa hata Goli ( Bao ) Saba ( 7 ) kwa Sifuri (0).
Kwa Simba SC hii iliyopo sasa (na ambayo imeboreka zaidi) bado sijaona Klabu yoyote ile hapa nchini Tanzania ya Kucheza nayo na hata Kuifunga na kama Simba SC itafungwa na Klabu yoyote ya Tanzania basi itakuwa 95% hiyo Timu imeroga mno na 5% imehonga sana Waamuzi ili Waibebe.
Kwani ukiachilia mbali kuwa Simba SC ni Timu ya Wenye Nchi lakini pia ndiyo Timu pendwa na Mwenyezi Mungu na kwamba ameshaibariki zaidi kwa Mafanikio ya Kimpira.
huyu jamaa yupo ama kafa??Simba wamecheza na Mazembe timu ngumu kumbukeni hilo,Simba kwa Mazembe walikua wanahaki ya kupigwa hata goli tatu,lakini haikua rahisi.Mazembe ndo bingwa wa DRC na kabeba mataji cafcl zaidi ya mara nne.
Ujio wa wachezaji wageni wa Simba kwenye mechi ngumu yenye kiwango cha final na bado wakaonyesha kiwango cha kuridhisha hiyo ni hatua kubwa sana kwa Simba,ingekua timu nyingine wangesema bado hawana muunganiko.
Nachowahakikishia wanasimba wote tuwape muda wacheza wapya wote wa Simba,wanavitu amazing sana watavionyesha siku za usoni.
Jamaa kautelekeza Uzi wake[emoji1787][emoji1787]Kuna Timu kwa nia njema tu naionya kwakuwa bado ina Jeraha la Kufungwa mara mbili Dar es Salaam na Port Harcourt isikubali Kucheza Mchezo wake wa Ngao ya Hisani (Jamii) na Simba SC tarehe 25 Septemba, 2021.
Kwa aina ya Mpira mkubwa (mwingi) na wa Kiwango cha Kimataifa iliyoucheza ( nikifurahishwa ) zaidi na Kasi ya Wachezaji, Pumzi, Nguvu na Ari ya Kiushindani waliyonayo naiona hiyo Timu itakayocheza nayo Jumamosi ijayo itafungwa hata Goli ( Bao ) Saba ( 7 ) kwa Sifuri (0).
Kwa Simba SC hii iliyopo sasa (na ambayo imeboreka zaidi) bado sijaona Klabu yoyote ile hapa nchini Tanzania ya Kucheza nayo na hata Kuifunga na kama Simba SC itafungwa na Klabu yoyote ya Tanzania basi itakuwa 95% hiyo Timu imeroga mno na 5% imehonga sana Waamuzi ili Waibebe.
Kwani ukiachilia mbali kuwa Simba SC ni Timu ya Wenye Nchi lakini pia ndiyo Timu pendwa na Mwenyezi Mungu na kwamba ameshaibariki zaidi kwa Mafanikio ya Kimpira.
Jamaa gani huyo?Jamaa kautelekeza Uzi wake[emoji1787][emoji1787]
Hauna wasiwasi na nini...[emoji12][emoji12]Simba imecheza vizuri sana, mechi ilikuwa ya viwango vya UEFA CL, pia mazembe wameimarika sana.
Sina wasiwasi na Simba msimu huu[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Wewe jamaa utakuwa mtabiri mzuri aisee!Hii thread ilikufa baada ya mnyama kupigwa na kitu kizito kichwani kwa kupigiwa pira sambusa na watoto wa professa nabi 😃😃🙌🏽
Nadhani tupo pamojaKila mwaka kunakuwa na kauli hizihizi kabla ya Derby, baada ya game story inakuwa tofauti....