Wallah! Kama Simba SC itacheza Mpira Mkubwa iliyocheza Simba Day na TP Mazembe, kuna Mtu tarehe 25 anafungwa Goli 7

Ndio maana timu ilienda kufichwa karatu, hii ndio Simba mbovu katika miaka ya karibuni. Katika wachezaji wote wapya hakuna Wa kumzidi Ajib ambaye anasotea bench. Apo ndio wana wiki ya tano ya pre season na mechi zaidi ya tano na kiwango ndio hicho.
 
Ndio maana timu ilienda kufichwa karatu, hii ndio Simba mbovu katika miaka ya karibuni. Katika wachezaji wote wapya hakuna Wa kumzidi Ajib ambaye anasotea bench. Apo ndio wana wiki ya tano ya pre season na mechi zaidi ya tano na kiwango ndio hicho.
Pole kwa Kufungwa Dar es Salaam ( Tanzania ) Kimoko na Port Harcourt ( Nigeria ) Kimoko Ndugu.

Hongereni pia Yanga SC kuwa Klabu ya Kwanza tokea Uhuru wa Tanzania kutolewa CAF CL katika Mechi ya Kwanza tu.

Na Jumamosi ndiyo mtauana Uwanjani.
 
Kama Simba ilivyo tolewa na UD Songo.
 
Kama Simba ilivyo tolewa na UD Songo.
Ni kweli Simba alitolewa na UD Songo lakini si kwa kufungwa bali ni kanuni.Pili nafasi ile ya uwakilishi Simba alikuwa kaipambania lakini nyinyi sasa ,nafasi ya viti maalumu bado mnaichezea

Semu kuna mtu nimeona sehemu kasema ukimbeba chizi ujiandae kuchafuliwa tu .
 
Simba wamecheza mpira mbovu sana Jana,,sidhani kama watatoboa makundi
 
Simba uwezo wanaona ,angalia walipofungwa walivyochangamka ,sema walifungwa zimebaki dk chache lakini unaona walivyokimbiza pia ,Sina wasiwasi na Simba tutafika mbali
Umesema ukweli mtupu.
 
Simba wamecheza na Mazembe timu ngumu kumbukeni hilo,Simba kwa Mazembe walikua wanahaki ya kupigwa hata goli tatu,lakini haikua rahisi.Mazembe ndo bingwa wa DRC na kabeba mataji cafcl zaidi ya mara nne.

Ujio wa wachezaji wageni wa Simba kwenye mechi ngumu yenye kiwango cha final na bado wakaonyesha kiwango cha kuridhisha hiyo ni hatua kubwa sana kwa Simba,ingekua timu nyingine wangesema bado hawana muunganiko.
Nachowahakikishia wanasimba wote tuwape muda wacheza wapya wote wa Simba,wanavitu amazing sana watavionyesha siku za usoni.
 
Kila mwaka kunakuwa na kauli hizihizi kabla ya Derby, baada ya game story inakuwa tofauti....
 
Haina ubishi iyo
 
huyu jamaa yupo ama kafa??
 
Jamaa kautelekeza Uzi wake[emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…