Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Mbona umejichagulia adhabu ndogo? Ban ya week moja tu? Wenzio huwa wanaweka hadi ahadi za kuliwaWakishinda Simba nipitwe ban ya week nzima. Najua itakuwa adhabu kubwa kwangu lakini ni bora nisiwepo hata hewani kuliko kuona Simba wakishinda.
Kumbe mnajua kuwa Azam ni tawi lenu, lakini simba ikishinda mnaungana na mchambuzi uchwara Amri Kiemba mnadai wakurugenzi wa Azam huwa wanafurahia timu yake kufungwa na Simba.Leo Mikia wakijitahidi sana ni Draw. Hashindi. Labda ashinde njaa mbwa huyo. Azam wametoka kumaliza hii game kwa mtaalamu wetu wa siku zote ambaye anazuia sisi Wananchi tusifungwe na Mikia.
WallahKwa mimi mtu wa mpira pamoja na kuwa ni mwananchi, bado siwezi kujiapiza kwa namna hii
Mmmh.Ni lini simba alipata matokeo ya ushindi chamazi