john_thesmart
Senior Member
- Jan 20, 2022
- 137
- 384
Safi mods kwa kumpa haki yake ya kikatiba,ila inatakiwa mtu akitaka ban kwa upuuzi mwenyewe basi aongezewe adhabu maana huku ni kusumbua uongozi. Huyu angepewa mwezi kabisa
Uzuri ni kwamba alijichagulia kiapo mwenyewe. Hakuna mtu aliyemlazimisha kuweka kiapoAisee Wabongo nimewavulia kofia. Hatimaye roho zenu zimepata faraja baada ya mwamba kupigwa BAN!