ministrant
JF-Expert Member
- Jan 17, 2014
- 1,400
- 2,623
Mganga karudisha kuku
Nilikuambia! Ona sasaAzam ni moja ya Team kali sana kwa sasa. Ina Kocha ambaye pia ni rafiki yetu Yanga. Anajua kuwa Mikia ni maadui zetu
Leo Mikia wakijitahidi sana ni Draw. Hashindi. Labda ashinde njaa mbwa huyo. Azam wametoka kumaliza hii game kwa mtaalamu wetu wa siku zote ambaye anazuia sisi Wananchi tusifungwe na Mikia.
Wakishinda Simba nipitwe ban ya week nzima. Najua itakuwa adhabu kubwa kwangu lakini ni bora nisiwepo hata hewani kuliko kuona Simba wakishinda.
Hyo ya kuliwa utamstarehesha,,Mbona umejichagulia adhabu ndogo? Ban ya week moja tu? Wenzio huwa wanaweka hadi ahadi za kuliwa
Amepatiwa chai moto kwenye bakuli la bati na anatakiwa ainywe haraka huku anatoa ujumbe aliotumwa aufikishe.Asanteni mods kwa kazi yenu iliyotukuka
Naona Mods wameamua wakupe stahiki yako😅😅Azam ni moja ya Team kali sana kwa sasa. Ina Kocha ambaye pia ni rafiki yetu Yanga. Anajua kuwa Mikia ni maadui zetu
Leo Mikia wakijitahidi sana ni Draw. Hashindi. Labda ashinde njaa mbwa huyo. Azam wametoka kumaliza hii game kwa mtaalamu wetu wa siku zote ambaye anazuia sisi Wananchi tusifungwe na Mikia.
Wakishinda Simba nipitwe ban ya week nzima. Najua itakuwa adhabu kubwa kwangu lakini ni bora nisiwepo hata hewani kuliko kuona Simba wakishinda.
Habari za Ban?Azam ni moja ya Team kali sana kwa sasa. Ina Kocha ambaye pia ni rafiki yetu Yanga. Anajua kuwa Mikia ni maadui zetu