Wallah Simba akishinda leo nipigwe ban ya week nzima. Nimetizama Mnyama kaliwa

Safi mods kwa kumpa haki yake ya kikatiba,ila inatakiwa mtu akitaka ban kwa upuuzi mwenyewe basi aongezewe adhabu maana huku ni kusumbua uongozi. Huyu angepewa mwezi kabisa
 
Aisee Wabongo nimewavulia kofia. Hatimaye roho zenu zimepata faraja baada ya mwamba kupigwa BAN!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…