Walokole sasa wamegawana vituo vya daladala na spika na kufanya mahubiri

Ninachukia sana nikisikia makelele ya hao viumbe wapuuzi hata wanacho fundisha awakijui ni makelele bora wangekuwa wanaongea siyo kupigq kelele..mfano kuna jamaa anaitwa mchungaji magembe du yule ni kichaa yani hata anayo hubiri ni kelele tupu ...kwani ni lazima uoige kelele ndiyo ueleweke mbona walimu ufundisha kwa utulivyu na wanafunzi wanaelewa ?ninachukia kelele...
Sasa hivi Walokole wameamua kugawana hadi vituo vya daladala, Wakiwa na spika zinazounguruma, ni mwendo wa mahubiri tu mwanzo mwisho.

Mimi ninachojua kuna taratibu za kuendesha haya mambo ya mahubiri. Kuna ishu ya kelele, pia ambayo ni lazima idhibitiwe kwa mujibu wa sheria ya mazingira. Lakini Serikali imeliacha hili jambo.

Je hakuna utaratibu, kanuni zinazotawala matumizi ya vipaza sauti mitaani?. Kwa nini serikali inaacha watu kwa kutumia mgongo wa dini wanaingilia haki ya wengine kupata utulivu?

Wahubiri hawa wanajihesabia haki, wao wanaamini kuwa kwa kuwa wanatangaza neno la Mungu kwa hiyo wana haki ya kufanya mahubiri popote na kwa kipaza sauti chochote wanachokitaka, na ukiwaambia kuwa huo siyo utaratibu wanakuhesabia dhambi.

Hata hivyo Yesu Mwenyewe amewahi kukemea wanaofanya maombi mitaani na kusema mfanyapo maombi msipayukepayuke, sasa nashangaa hawa walokole wanaohodhi vituo vya daladala na kupayukapayuka bila kujali haki za wengine za kupata utulivu iwezekanavyo.

Andiko linasema hivi:

"Nanyi mkiwa katika kusali, msipayuke-payuke, kama watu wa mataifa; maana wao hudhani ya kuwa watasikiwa kwa sababu ya maneno yao kuwa mengi. Basi msifanane na hao; maana Baba yenu anajua mnayohitaji kabla ninyi hamjamwomba". (Mathayo 6:7-8)

Haihishii hapo tu, kuna hawa wa vituo vya daladala, lakini kuna wale wanaopanda daladala na kuanza mahubiri. Aisee.

Ila mwisho wa mahubiri hayo huwa ni KUOMBA SADAKA.
 
Unasali kanisa gani mkuu? Uwe unasikiliza mafundisho kanisani kwa makini. Mahubiri yapo hadi UK watu wanahubiri kwenye vituo vya mabasi, tren, sokoni, hiyo wanaita uinjilisti.
 
Pale Tegeta kwa ndevu kuna wajuba wametega miaka lukuki wao na magitaa yao, ngoma inapigwa kuanzia asubuhi mpaka jioni.

Mlimani City nje ya geti kina mwamba yeye keshajichukulia kijiwe, ana lispika lake anaungurumisha tu.

Na vituo vya daladala, mtu akiotea fursa ananua spika lake anasongesha mambo.

Mwisho wa mahubiri ni SADAKA
 
Sheikh Mwaipopo anauza mafuta ya kufukuza majini mabaya na mikosi.
 
Tukutane ijumaa ngomeni kimara temboni kwa muonaji na kuhani Musa mwacha, fresh spring fellowship
 
Sasa hivi Walokole wameamua kugawana hadi vituo vya daladala, Wakiwa na spika zinazounguruma, ni mwendo wa mahubiri tu mwanzo mwisho.

Mimi ninachojua kuna taratibu za kuendesha haya mambo ya mahubiri. Kuna ishu ya kelele, pia ambayo ni lazima idhibitiwe kwa mujibu wa sheria ya mazingira. Lakini Serikali imeliacha hili jambo.

Je hakuna utaratibu, kanuni zinazotawala matumizi ya vipaza sauti mitaani?. Kwa nini serikali inaacha watu kwa kutumia mgongo wa dini wanaingilia haki ya wengine kupata utulivu?

Wahubiri hawa wanajihesabia haki, wao wanaamini kuwa kwa kuwa wanatangaza neno la Mungu kwa hiyo wana haki ya kufanya mahubiri popote na kwa kipaza sauti chochote wanachokitaka, na ukiwaambia kuwa huo siyo utaratibu wanakuhesabia dhambi.

Hata hivyo Yesu Mwenyewe amewahi kukemea wanaofanya maombi mitaani na kusema mfanyapo maombi msipayukepayuke, sasa nashangaa hawa walokole wanaohodhi vituo vya daladala na kupayukapayuka bila kujali haki za wengine za kupata utulivu iwezekanavyo.

Andiko linasema hivi:

"Nanyi mkiwa katika kusali, msipayuke-payuke, kama watu wa mataifa; maana wao hudhani ya kuwa watasikiwa kwa sababu ya maneno yao kuwa mengi. Basi msifanane na hao; maana Baba yenu anajua mnayohitaji kabla ninyi hamjamwomba". (Mathayo 6:7-8)

Haihishii hapo tu, kuna hawa wa vituo vya daladala, lakini kuna wale wanaopanda daladala na kuanza mahubiri. Aisee.

Ila mwisho wa mahubiri hayo huwa ni KUOMBA SADAKA.
Biblia sio novel au gazeti..hilo neno ulilonukuu si tafsiri yake hiyo uliyotoa..acha watu wahubiriwe waache maovu, sadaka ina thawabu kwa anayetoa ndio maana hakuna analazimishwa kutoa ni hiyari.
 
Imeandikwa;
Injili hii ya ufalme itahubiriwa ulimwenguni kote kuwa ushuhuda kwa mataifa yote. Ndipo mwisho utakapokuja.
 
Sasa hivi Walokole wameamua kugawana hadi vituo vya daladala, Wakiwa na spika zinazounguruma, ni mwendo wa mahubiri tu mwanzo mwisho.

Mimi ninachojua kuna taratibu za kuendesha haya mambo ya mahubiri. Kuna ishu ya kelele, pia ambayo ni lazima idhibitiwe kwa mujibu wa sheria ya mazingira. Lakini Serikali imeliacha hili jambo.

Je hakuna utaratibu, kanuni zinazotawala matumizi ya vipaza sauti mitaani?. Kwa nini serikali inaacha watu kwa kutumia mgongo wa dini wanaingilia haki ya wengine kupata utulivu?

Wahubiri hawa wanajihesabia haki, wao wanaamini kuwa kwa kuwa wanatangaza neno la Mungu kwa hiyo wana haki ya kufanya mahubiri popote na kwa kipaza sauti chochote wanachokitaka, na ukiwaambia kuwa huo siyo utaratibu wanakuhesabia dhambi.

Hata hivyo Yesu Mwenyewe amewahi kukemea wanaofanya maombi mitaani na kusema mfanyapo maombi msipayukepayuke, sasa nashangaa hawa walokole wanaohodhi vituo vya daladala na kupayukapayuka bila kujali haki za wengine za kupata utulivu iwezekanavyo.

Andiko linasema hivi:

"Nanyi mkiwa katika kusali, msipayuke-payuke, kama watu wa mataifa; maana wao hudhani ya kuwa watasikiwa kwa sababu ya maneno yao kuwa mengi. Basi msifanane na hao; maana Baba yenu anajua mnayohitaji kabla ninyi hamjamwomba". (Mathayo 6:7-8)

Haihishii hapo tu, kuna hawa wa vituo vya daladala, lakini kuna wale wanaopanda daladala na kuanza mahubiri. Aisee.

Ila mwisho wa mahubiri hayo huwa ni KUOMBA SADAKA.
Hawa walokole wanadeka sana
 
Haiwezekani anayesemwa ni Shetani mmoja tu huyu huyu kila kona ya Dunia ametushinda kwa miaka 2000+..
Kuna hakipo sawa mahali au kuna upigaji!
 
Sasa hivi Walokole wameamua kugawana hadi vituo vya daladala, Wakiwa na spika zinazounguruma, ni mwendo wa mahubiri tu mwanzo mwisho.

Mimi ninachojua kuna taratibu za kuendesha haya mambo ya mahubiri. Kuna ishu ya kelele, pia ambayo ni lazima idhibitiwe kwa mujibu wa sheria ya mazingira. Lakini Serikali imeliacha hili jambo.

Je hakuna utaratibu, kanuni zinazotawala matumizi ya vipaza sauti mitaani?. Kwa nini serikali inaacha watu kwa kutumia mgongo wa dini wanaingilia haki ya wengine kupata utulivu?

Wahubiri hawa wanajihesabia haki, wao wanaamini kuwa kwa kuwa wanatangaza neno la Mungu kwa hiyo wana haki ya kufanya mahubiri popote na kwa kipaza sauti chochote wanachokitaka, na ukiwaambia kuwa huo siyo utaratibu wanakuhesabia dhambi.

Hata hivyo Yesu Mwenyewe amewahi kukemea wanaofanya maombi mitaani na kusema mfanyapo maombi msipayukepayuke, sasa nashangaa hawa walokole wanaohodhi vituo vya daladala na kupayukapayuka bila kujali haki za wengine za kupata utulivu iwezekanavyo.

Andiko linasema hivi:

"Nanyi mkiwa katika kusali, msipayuke-payuke, kama watu wa mataifa; maana wao hudhani ya kuwa watasikiwa kwa sababu ya maneno yao kuwa mengi. Basi msifanane na hao; maana Baba yenu anajua mnayohitaji kabla ninyi hamjamwomba". (Mathayo 6:7-8)

Haihishii hapo tu, kuna hawa wa vituo vya daladala, lakini kuna wale wanaopanda daladala na kuanza mahubiri. Aisee.

Ila mwisho wa mahubiri hayo huwa ni KUOMBA SADAKA.
We umeona walokole tu ndiyo wanaochafua mazingira Kwa sauti?

Wale wenye vistudio vya kubani CD hujawaona?

Wapiga debe hujawaona?

Wauza viwanja kama kina Boss Kwenzi hujawaona?

Wenye mabaa hujawaona?

Na wengine weeengi huwaoni?

Ukitaka kukemea hilo kemea Kote, usichague upande mmoja.
 
hilo Andiko ulilotaja hapo linazungumzia kusali. Kuna tofauti ya kusali na kuhubiri. Kuhubiri ni kupiga panda. Ni kuwasikilizisha wote ujumbe wa Mungu. Atakayeusikia na kuufuata itakuwa heri yake, asiyetaka atajua mwenyewe! Injili lazima ihubiriwe kwa kila kiumbe.

“Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe.
”
— Marko 16:15 (Biblia Takatifu)
Bahokoli mmezidi fanyeni sehemu maalum zilizotengwa
 
Back
Top Bottom