Sasa hivi Walokole wameamua kugawana hadi vituo vya daladala, Wakiwa na spika zinazounguruma, ni mwendo wa mahubiri tu mwanzo mwisho.
Mimi ninachojua kuna taratibu za kuendesha haya mambo ya mahubiri. Kuna ishu ya kelele, pia ambayo ni lazima idhibitiwe kwa mujibu wa sheria ya mazingira. Lakini Serikali imeliacha hili jambo.
Je hakuna utaratibu, kanuni zinazotawala matumizi ya vipaza sauti mitaani?. Kwa nini serikali inaacha watu kwa kutumia mgongo wa dini wanaingilia haki ya wengine kupata utulivu?
Wahubiri hawa wanajihesabia haki, wao wanaamini kuwa kwa kuwa wanatangaza neno la Mungu kwa hiyo wana haki ya kufanya mahubiri popote na kwa kipaza sauti chochote wanachokitaka, na ukiwaambia kuwa huo siyo utaratibu wanakuhesabia dhambi.
Hata hivyo Yesu Mwenyewe amewahi kukemea wanaofanya maombi mitaani na kusema mfanyapo maombi msipayukepayuke, sasa nashangaa hawa walokole wanaohodhi vituo vya daladala na kupayukapayuka bila kujali haki za wengine za kupata utulivu iwezekanavyo.
Andiko linasema hivi:
"Nanyi mkiwa katika kusali, msipayuke-payuke, kama watu wa mataifa; maana wao hudhani ya kuwa watasikiwa kwa sababu ya maneno yao kuwa mengi. Basi msifanane na hao; maana Baba yenu anajua mnayohitaji kabla ninyi hamjamwomba". (Mathayo 6:7-8)
Haihishii hapo tu, kuna hawa wa vituo vya daladala, lakini kuna wale wanaopanda daladala na kuanza mahubiri. Aisee.
Ila mwisho wa mahubiri hayo huwa ni KUOMBA SADAKA.
Unasali kanisa gani mkuu? Uwe unasikiliza mafundisho kanisani kwa makini. Mahubiri yapo hadi UK watu wanahubiri kwenye vituo vya mabasi, tren, sokoni, hiyo wanaita uinjilisti.Sasa hivi Walokole wameamua kugawana hadi vituo vya daladala, Wakiwa na spika zinazounguruma, ni mwendo wa mahubiri tu mwanzo mwisho.
Mimi ninachojua kuna taratibu za kuendesha haya mambo ya mahubiri. Kuna ishu ya kelele, pia ambayo ni lazima idhibitiwe kwa mujibu wa sheria ya mazingira. Lakini Serikali imeliacha hili jambo.
Je hakuna utaratibu, kanuni zinazotawala matumizi ya vipaza sauti mitaani?. Kwa nini serikali inaacha watu kwa kutumia mgongo wa dini wanaingilia haki ya wengine kupata utulivu?
Wahubiri hawa wanajihesabia haki, wao wanaamini kuwa kwa kuwa wanatangaza neno la Mungu kwa hiyo wana haki ya kufanya mahubiri popote na kwa kipaza sauti chochote wanachokitaka, na ukiwaambia kuwa huo siyo utaratibu wanakuhesabia dhambi.
Hata hivyo Yesu Mwenyewe amewahi kukemea wanaofanya maombi mitaani na kusema mfanyapo maombi msipayukepayuke, sasa nashangaa hawa walokole wanaohodhi vituo vya daladala na kupayukapayuka bila kujali haki za wengine za kupata utulivu iwezekanavyo.
Andiko linasema hivi:
"Nanyi mkiwa katika kusali, msipayuke-payuke, kama watu wa mataifa; maana wao hudhani ya kuwa watasikiwa kwa sababu ya maneno yao kuwa mengi. Basi msifanane na hao; maana Baba yenu anajua mnayohitaji kabla ninyi hamjamwomba". (Mathayo 6:7-8)
Haihishii hapo tu, kuna hawa wa vituo vya daladala, lakini kuna wale wanaopanda daladala na kuanza mahubiri. Aisee.
Ila mwisho wa mahubiri hayo huwa ni KUOMBA SADAKA.
Sheikh Mwaipopo anauza mafuta ya kufukuza majini mabaya na mikosi.Pale Tegeta kwa ndevu kuna wajuba wametega miaka lukuki wao na magitaa yao, ngoma inapigwa kuanzia asubuhi mpaka jioni.
Mlimani City nje ya geti kina mwamba yeye keshajichukulia kijiwe, ana lispika lake anaungurumisha tu.
Na vituo vya daladala, mtu akiotea fursa ananua spika lake anasongesha mambo.
Mwisho wa mahubiri ni SADAKA
Hapa ndiyo pa muhimu😂😂Ila mwisho wa mahubiri hayo huwa ni KUOMBA SADAKA.
Sodoma na Gomora viliangamizwa kwa moto..walipona watu hawazidi kumi, hizo ndio standard za Mungu.Nawaza hivi Japanese, north Korea wataenda motoni,maana hivi vitu vipo kushoto kwa upande wao
Biblia sio novel au gazeti..hilo neno ulilonukuu si tafsiri yake hiyo uliyotoa..acha watu wahubiriwe waache maovu, sadaka ina thawabu kwa anayetoa ndio maana hakuna analazimishwa kutoa ni hiyari.Sasa hivi Walokole wameamua kugawana hadi vituo vya daladala, Wakiwa na spika zinazounguruma, ni mwendo wa mahubiri tu mwanzo mwisho.
Mimi ninachojua kuna taratibu za kuendesha haya mambo ya mahubiri. Kuna ishu ya kelele, pia ambayo ni lazima idhibitiwe kwa mujibu wa sheria ya mazingira. Lakini Serikali imeliacha hili jambo.
Je hakuna utaratibu, kanuni zinazotawala matumizi ya vipaza sauti mitaani?. Kwa nini serikali inaacha watu kwa kutumia mgongo wa dini wanaingilia haki ya wengine kupata utulivu?
Wahubiri hawa wanajihesabia haki, wao wanaamini kuwa kwa kuwa wanatangaza neno la Mungu kwa hiyo wana haki ya kufanya mahubiri popote na kwa kipaza sauti chochote wanachokitaka, na ukiwaambia kuwa huo siyo utaratibu wanakuhesabia dhambi.
Hata hivyo Yesu Mwenyewe amewahi kukemea wanaofanya maombi mitaani na kusema mfanyapo maombi msipayukepayuke, sasa nashangaa hawa walokole wanaohodhi vituo vya daladala na kupayukapayuka bila kujali haki za wengine za kupata utulivu iwezekanavyo.
Andiko linasema hivi:
"Nanyi mkiwa katika kusali, msipayuke-payuke, kama watu wa mataifa; maana wao hudhani ya kuwa watasikiwa kwa sababu ya maneno yao kuwa mengi. Basi msifanane na hao; maana Baba yenu anajua mnayohitaji kabla ninyi hamjamwomba". (Mathayo 6:7-8)
Haihishii hapo tu, kuna hawa wa vituo vya daladala, lakini kuna wale wanaopanda daladala na kuanza mahubiri. Aisee.
Ila mwisho wa mahubiri hayo huwa ni KUOMBA SADAKA.
Hawa walokole wanadeka sanaSasa hivi Walokole wameamua kugawana hadi vituo vya daladala, Wakiwa na spika zinazounguruma, ni mwendo wa mahubiri tu mwanzo mwisho.
Mimi ninachojua kuna taratibu za kuendesha haya mambo ya mahubiri. Kuna ishu ya kelele, pia ambayo ni lazima idhibitiwe kwa mujibu wa sheria ya mazingira. Lakini Serikali imeliacha hili jambo.
Je hakuna utaratibu, kanuni zinazotawala matumizi ya vipaza sauti mitaani?. Kwa nini serikali inaacha watu kwa kutumia mgongo wa dini wanaingilia haki ya wengine kupata utulivu?
Wahubiri hawa wanajihesabia haki, wao wanaamini kuwa kwa kuwa wanatangaza neno la Mungu kwa hiyo wana haki ya kufanya mahubiri popote na kwa kipaza sauti chochote wanachokitaka, na ukiwaambia kuwa huo siyo utaratibu wanakuhesabia dhambi.
Hata hivyo Yesu Mwenyewe amewahi kukemea wanaofanya maombi mitaani na kusema mfanyapo maombi msipayukepayuke, sasa nashangaa hawa walokole wanaohodhi vituo vya daladala na kupayukapayuka bila kujali haki za wengine za kupata utulivu iwezekanavyo.
Andiko linasema hivi:
"Nanyi mkiwa katika kusali, msipayuke-payuke, kama watu wa mataifa; maana wao hudhani ya kuwa watasikiwa kwa sababu ya maneno yao kuwa mengi. Basi msifanane na hao; maana Baba yenu anajua mnayohitaji kabla ninyi hamjamwomba". (Mathayo 6:7-8)
Haihishii hapo tu, kuna hawa wa vituo vya daladala, lakini kuna wale wanaopanda daladala na kuanza mahubiri. Aisee.
Ila mwisho wa mahubiri hayo huwa ni KUOMBA SADAKA.
Kama ni hivyo hakuna maana ya maishaSodoma na Gomora viliangamizwa kwa moto..walipona watu hawazidi kumi, hizo ndio standard za Mungu.
We umeona walokole tu ndiyo wanaochafua mazingira Kwa sauti?Sasa hivi Walokole wameamua kugawana hadi vituo vya daladala, Wakiwa na spika zinazounguruma, ni mwendo wa mahubiri tu mwanzo mwisho.
Mimi ninachojua kuna taratibu za kuendesha haya mambo ya mahubiri. Kuna ishu ya kelele, pia ambayo ni lazima idhibitiwe kwa mujibu wa sheria ya mazingira. Lakini Serikali imeliacha hili jambo.
Je hakuna utaratibu, kanuni zinazotawala matumizi ya vipaza sauti mitaani?. Kwa nini serikali inaacha watu kwa kutumia mgongo wa dini wanaingilia haki ya wengine kupata utulivu?
Wahubiri hawa wanajihesabia haki, wao wanaamini kuwa kwa kuwa wanatangaza neno la Mungu kwa hiyo wana haki ya kufanya mahubiri popote na kwa kipaza sauti chochote wanachokitaka, na ukiwaambia kuwa huo siyo utaratibu wanakuhesabia dhambi.
Hata hivyo Yesu Mwenyewe amewahi kukemea wanaofanya maombi mitaani na kusema mfanyapo maombi msipayukepayuke, sasa nashangaa hawa walokole wanaohodhi vituo vya daladala na kupayukapayuka bila kujali haki za wengine za kupata utulivu iwezekanavyo.
Andiko linasema hivi:
"Nanyi mkiwa katika kusali, msipayuke-payuke, kama watu wa mataifa; maana wao hudhani ya kuwa watasikiwa kwa sababu ya maneno yao kuwa mengi. Basi msifanane na hao; maana Baba yenu anajua mnayohitaji kabla ninyi hamjamwomba". (Mathayo 6:7-8)
Haihishii hapo tu, kuna hawa wa vituo vya daladala, lakini kuna wale wanaopanda daladala na kuanza mahubiri. Aisee.
Ila mwisho wa mahubiri hayo huwa ni KUOMBA SADAKA.
This is fair. Siyo huko barabaraniTukutane ijumaa ngomeni kimara temboni kwa muonaji na kuhani Musa mwacha, fresh spring fellowship
We umeona walokole tu ndiyo wanaochafua mazingira Kwa sauti?
Wale wenye vistudio vya kubani CD hujawaona?
Wapiga debe hujawaona?
Wauza viwanja kama kina Boss Kwenzi hujawaona?
Wenye mabaa hujawaona?
Na wengine weeengi huwaoni?
Ukitaka kukemea hilo kemea Kote, usichague upande mmoja.
NaaamThis is fair. Siyo huko barabarani
Bahokoli mmezidi fanyeni sehemu maalum zilizotengwahilo Andiko ulilotaja hapo linazungumzia kusali. Kuna tofauti ya kusali na kuhubiri. Kuhubiri ni kupiga panda. Ni kuwasikilizisha wote ujumbe wa Mungu. Atakayeusikia na kuufuata itakuwa heri yake, asiyetaka atajua mwenyewe! Injili lazima ihubiriwe kwa kila kiumbe.
“Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe.
”
— Marko 16:15 (Biblia Takatifu)