Walokole siasa kali wanamuona Joel Lwaga hana tofauti na Diamond

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Hili wakuone unaimba gospel kweli inabidi kwenye verse moja utamke Yesu mara 200.
Uvae mashati ya kung'aa ,chini moka na nk.
Hawa wasanii wanaoimba gospel janja kwa walokole siasa kali wanawaona kama wanaimba pini za kina Diamond tu.
 
Mkuu umesahau kuwa ukiimba usisahau kushoot Kwa umati wa watu ili wajue ujumbe umefika.
 
Hili wakuone unaimba gospel kweli inabidi kwenye verse moja utamke Yesu mara 200.
Uvae mashati ya kung'aa ,chini moka na nk.
Hawa wasanii wanaoimba gospel janja kwa walokole siasa kali wanawaona kama wanaimba pini za kina Diamond tu.
Hili wakuone❌️/Ili wakuone✅️
 
Kuna Uzi niliupost mchana Mods wakaufuta ungejua kitu, kiufupi tu juzi amepostiwa na Sir Andy Chande kule Instagram....kwahiyo jiongeze.

Kama humjui Sir Andy chande basi kamtafute umfaham.
 
Hili wakuone unaimba gospel kweli inabidi kwenye verse moja utamke Yesu mara 200.
Uvae mashati ya kung'aa ,chini moka na nk.
Hawa wasanii wanaoimba gospel janja kwa walokole siasa kali wanawaona kama wanaimba pini za kina Diamond tu.
Wote hao ni wale wale tuu
 
Kuna Uzi niliupost mchana Mods wakaufuta ungejua kitu, kiufupi tu juzi amepostiwa na Sir Andy Chande kule Instagram....kwahiyo jiongeze.

Kama humjui Sir Andy chande basi kamtafute umfaham.
Huyo Andy Chande alishaondoka toka 2017, kwa hiyo unataka kusema Joel ni mfuasi wa imani ya Sir Andy?
 
Back
Top Bottom