Gospel means good news...i.e habari njema if I'm to translate to Kiswahili..
Hii habari njema the main focus ni YESU...
Maandiko yanasema Torati ililetwa kwa mkono wa Musa lakini Neema na kweli na YESU Kristu.
Kwahiyo habari njema ni kuihubiri Kweli ( Neno la YESU)
Chochote ukifanyacho,kipimo ni Kweli ya YESU,nje ya hapo utakuwa umekengeuka.
Ukristu hauna siasa Kali ama siasa moderate kwakuwa Truth is indivisible,huwezi kuigawa kweli ikawa huku nusu na kule nusu... Kwenye ukristu it's either uwe upande wa kweli( truth) au huko kwa baba wa uwongo...tusilete perspective ya ati Kuna siasa moderate ama Kali kwa Christianity.
Bila ya kumtaja Yesu,hakuna injili na huo ndiyo ukweli...ukileta janja janja zako, KWELI inakutema yenyewe.
JESUS is the one who has brought the gospel,so ukitaka kutomtaja basi wewe utakuwa ni mtu wa gizani.
Lwaga kama wengine amejikwaa inabidi ajitafakari ni Injili gani anayoinjilisha bila ya kumdhihirisha YESU ambaye ndiye injili yenyewe....