Walokole Wazindua Brand Mpya za Magari yao ya Umeme kushindana na Elon Musk na BYD

Walokole Wazindua Brand Mpya za Magari yao ya Umeme kushindana na Elon Musk na BYD

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
9,397
Reaction score
12,415
Kanisa la Kilokole la Pentekost la Christ Embassy, chini ya uongozi wa Pastor Chris Oyakhilome, limezindua rasmi safu ya magari yanayotumia nishati ya umeme, ikiwa ni sehemu ya miradi yake ya kiteknolojia na viwanda.

Magari hayo yamewasilishwa kupitia njia rasmi za huduma hiyo, huku baadhi ya miundo ikipewa majina ya Falcon, Passion na OG Series.

Uzinduzi huo umeibua mjadala kuhusu kuongezeka kwa uwekezaji wa taasisi za kidini katika sekta za teknolojia na ubunifu, huku Christ Embassy ikiendelea kuhusisha shughuli zake na miradi mbalimbali ya maendeleo.

Mbali na uzinduzi wa magari hayo, huduma ya Christ Embassy pia imekuwa ikifahamika kwa kuwapatia magari baadhi ya watumishi na wafanyakazi wake kama sehemu ya kutambua mchango wao katika kazi za huduma.

Hatua hiyo imeongeza umakini kwenye miradi ya kiteknolojia inayotekelezwa na taasisi hiyo, hasa katika kipindi ambacho matumizi ya magari ya umeme yanaendelea kuongezeka duniani.



View: https://www.instagram.com/p/DcMVzB-EUkH/?igsh=cmllcmoxazhwcng=



View: https://www.instagram.com/p/DcNmEKUAVZ6/?igsh=ZmwzczAwemlqZjN4


Screenshot 2026-08-19 at 12-25-36 Instagram.png


​


View: https://www.instagram.com/p/DcLkm_2jVFs/?igsh=MTE1ZHp5eWV0NWxxNQ==



View: https://www.instagram.com/p/DcMJZQECkVM/?igsh=MXB5cjc2eWoxaWppYg==



View: https://www.instagram.com/reel/DcLxdJ4I3wZ/?igsh=MTM2dGlmMzRseWFheg==
 
Hiyo habari nimethibitisha.
Hamna bana
vyanzo vyote vinatoka fecibuku na insta na mijengeo ya AI
Hakuna hata website inayoonyesha zinavyotengenezwa viwandani wala yeye au mlokole mwenzake akiiendesha
Unatuangusha msomi wa gesi na mafuta

1787131974863.png
 
Bado hio sio reliable source msomi
Hakuna infrastructure behind his claim, na hakuna proof zaidi ya sura yake na ya gari
Unakumbuka yule Mzimbabwe alisema anatengeneza gari sijui zinatumia microsonic device, kiko wapi ?
Maxwell Sangulani Chikumbutso
Ngoja tusubiri siku ya uzinduzi rasmi. Taasisi za kidini sio za kuzibeza. Niliwahi kusema siku moja taasisi za kidini zikiamua kuwekeza kwenye viwanda na teknolojia Afrika itaendelea haraka sana. Angalia uwekezaji uliofanyika kwenye elimu (shule na vyuo). Kama sio taasisi za kidini kuna watu wengi sana wasingefika sekondari na vyuo. Lakini pia ukiangali kwenye ufaulu shule za taasisi za kidini zinafanya vizuri zaidi. Hii inaleta picha moja kwamba taasisi za kidini zimechangia sana maendeleo Katika sekta ya elimu, zinaweza pia kuchangia pia katika sekta zingine kama viwanda na teknolojia.
 
Back
Top Bottom