Walokole Wazindua Brand Mpya za Magari yao ya Umeme kushindana na Elon Musk na BYD

Ngoja tusubiri siku ya uzinduzi rasmi. Taasisi za kidini sio za kuzibeza. Niliwahi kusema siku moja taasisi za kidini zikiamua kuwekeza kwenye viwanda na teknolojia Afrika itaendelea haraka sana. Angalia uwekezaji uliofanyika kwenye elimu (shule na vyuo). Kama sio taasisi za kidini kuna watu wengi sana wasingefika sekondari na vyuo. Lakini pia ukiangali kwenye ufaulu shule za taasisi za kidini zinafanya vizuri zaidi. Hii inaleta picha moja kwamba taasisi za kidini zimechangia sana maendeleo Katika sekta ya elimu, zinaweza pia kuchangia pia katika sekta zingine kama viwanda na teknolojia.
Msomi kumbe bado hujapevuka
Unatumia hisia zaidi kujibu kuliko uhalisia
Taasisi za kidini zimefanikiwa katika kutoa elimu sababu zinaspaoti ya serikali yoyote duniani iwe africa au Ulaya.
Na zinakuwa na exemption kubwa sana ya kodi katika sekta ya kutoa elimu ili serikali yoyoyte ifikie lengo la kutoa elimu na afya kwa wananchi wake.
Unaingia kwenye biashara, huu msamaha unakoma, na unaingia kwenye ushindani na makapuni binafsi na ya serikali husika.
Huyu anaedanganya waumini wake kutengeneza gari za umeme, sasa anaingia kushinadania malighafi na makampuni yote makubwa ya magari, na hapo bado atatakiwa alipe kodi.
Unadhani kwanini Ulaya na US hayo mashirika ya dini yasiingie kwenye biashara na yanaishia kuwa na mashule na mahospitali ?
Mpaka sasa bado hujaweka ushahidi madhubuti kuwa huyu mjanjamjanja anatengeneza hayo magri, ayatengenezee wapi ? China au Nigeria?
Na huko wapo BYD na Tesla?
Ashindwe Dangote ?
Hebu fikiria kwanza kabla hujatekwa akili na haya maigizo, nakuhakikishia huyu ni MUONGO
 
Ngoja tusubiri uzinduzi rasmi.
 
Back
Top Bottom