Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 9,397
- 12,415
Hiyo habari nimethibitisha.Hata wewe msomi elinasi unaokoteza upupu mitandaoni ?
Kweli hii ni majanga
WanayauzaYakizingua watakuwa wanayakemea.
Hamna banaHiyo habari nimethibitisha.
Hamna bana
vyanzo vyote vinatoka fecibuku na insta na mijengeo ya AI
Hakuna hata website inayoonyesha zinavyotengenezwa viwandani wala yeye au mlokole mwenzake akiiendesha
Unatuangusha msomi wa gesi na mafuta
View attachment 3653149
Source 2: Oyakhilome unveils electric cars as Christ Embassy enters auto industry – The Sun NigeriaHamna bana
vyanzo vyote vinatoka fecibuku na insta na mijengeo ya AI
Hakuna hata website inayoonyesha zinavyotengenezwa viwandani wala yeye au mlokole mwenzake akiiendesha
Unatuangusha msomi wa gesi na mafuta
View attachment 3653149
Bado hio sio reliable source msomi
Ngoja tusubiri siku ya uzinduzi rasmi. Taasisi za kidini sio za kuzibeza. Niliwahi kusema siku moja taasisi za kidini zikiamua kuwekeza kwenye viwanda na teknolojia Afrika itaendelea haraka sana. Angalia uwekezaji uliofanyika kwenye elimu (shule na vyuo). Kama sio taasisi za kidini kuna watu wengi sana wasingefika sekondari na vyuo. Lakini pia ukiangali kwenye ufaulu shule za taasisi za kidini zinafanya vizuri zaidi. Hii inaleta picha moja kwamba taasisi za kidini zimechangia sana maendeleo Katika sekta ya elimu, zinaweza pia kuchangia pia katika sekta zingine kama viwanda na teknolojia.Bado hio sio reliable source msomi
Hakuna infrastructure behind his claim, na hakuna proof zaidi ya sura yake na ya gari
Unakumbuka yule Mzimbabwe alisema anatengeneza gari sijui zinatumia microsonic device, kiko wapi ?
Maxwell Sangulani Chikumbutso
Yule jamaa akiamua anaweza. Tena yeye angejikita kwenye vituo vya mafuta, umeme na viwanda.Tusubiri wa Kawe