Wamaasai na Wamang'ati wafugaji ni tatizo kubwa

Wamaasai na Wamang'ati wafugaji ni tatizo kubwa

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Wamangati na wanasai wanaochunga ngombe zao karibu Tanzania nzima bila mpango ni tatizo.

1. Kwanza kule Monduli kumekuwa kama Jangwa
2. Huku Bagamoyo na Lindi ni uvamizi kila siku na wizi
3. Sasa wanataka mbuga ya Ngorongoro!

Serikali kutatua tatizo hili ifanye hivi

Serikali itafute mbuga moja itoe wanyama wote na kuifanya mbuga ya wafugaji. Wawekewe maji na kuwe na afisa wa mazingira ambapo watakuwa wanafunga sehemu moja kupisha majani yaote. Lakini wafugaji wote wabaki huko na Serikali iweke mkurugenzi mmoja kuwashighulikia huko na wawe na mwakilishi wao.

Hii ndiyo suluhisho pekee bila hivi tutauana bure. Mfano kwenye shama langu Bagamoyo wamangati wametoa mabati kwenye nyumba mara mbili kiasi kwamba polisi wanashauri tununue bunduki na mlinzi wangu anaenda kupewa gobore na risasi! Sasa tunaenda wapi?

Serikali isiweke siasa hili ni tatizo kubwa sana

Webmaster nirekebishie hapo ni wamassai🙏
 
Aisee hao jamaa ni tough kinyama , sasa ukiwapa Pori , wanavyototoana hvyo miaka mitano Tu pori limejaa na ming'ombe Yao the best solution ni kuwapeleka shule na kuwatawanya biologically Kwa kuwapelekea watoto wazur wa mikoa mingine kama njombe Kwa akina Opportunity Cost 😊😊😊
 
Aisee hao jamaa ni tough kinyama , sasa ukiwapa Pori , wanavyototoana hvyo miaka mitano Tu pori limejaa na ming'ombe Yao the best solution ni kuwapeleka shule na kuwatawanya biologically Kwa kuwapelekea watoto wazur wa mikoa mingine kama njombe Kwa akina Opportunity Cost [emoji4][emoji4][emoji4]
Wakambandue marinda au sio??
 
Back
Top Bottom