Wamachinga kufanya Press Conference Serena Hotel 20/10/2021

Wamachinga kufanya Press Conference Serena Hotel 20/10/2021

Duh.....mantiki inagoma kichwani mwangu! Machinga na Serena Hotel tena?? Waweza kuta ni "sarakasi" tu hizi.

Ngoja nipite tu, Tz haiishi vituko.
 
Jibu hoja, kwanini mnachezea maisha ya Wamachinga ili kupata credibility ya kisiasa? Mnajua hawa watu wana familia? Kwanini mliwaruhusu?

Achana na habari za awamu, Kubali CCM mlikosea sana na mnatakiwa kuwaomba radhi kabla ya kuwafanyia huu udhalimu. We said it before mkatuona sio wazelendo
Walipoachiwa kufanya biashara zao maeneo waliyokua mwanzo mlisema inatafutwa credibility ya kisiasa,sasa hivi wanapangwa na kuondolewa sehemu walizokua wameziba njia pia unasema inatafutwa credibility ya kisiasa!

Pinga pinga FC ni team ya maajabu sana.
 
🤣Maajabu mnoo
 
Je, ni Viongozi wa kuchaguliwa kweli au ni mapandikizi ya maccm pretending to be machinga leaders!?
Hio michezo ya kisiasa mkuu, kama wale wachoma mahindi na mama ntilie waliokuwa staged kwenye ziara za hayati
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Naam
Naona watakuja na tamko tamu

Sidhani kama watahamasishana kugomea. Lakini hoja inakuja
Kwa hizo shukrani walizozitoa mwisho sidhani kama kuna any bad news isipokuwa kuunga mkono juhudi za Mama!!
 
Jibu hoja, kwanini mnachezea maisha ya Wamachinga ili kupata credibility ya kisiasa? Mnajua hawa watu wana familia? Kwanini mliwaruhusu?

Achana na habari za awamu, Kubali CCM mlikosea sana na mnatakiwa kuwaomba radhi kabla ya kuwafanyia huu udhalimu. We said it before mkatuona sio wazelendo
Hasara za kuwa na machinga ni nyingi kuliko uhalisia wa maendeleo yao. Watu wanakwepa kupanga ili wasilipe kodi wakati ni wachafuzi, wanaharibu maeneo husika ya maegesho, wanaziba barabara watu wanagongwa wanakufa, wezi wamejificha humour over.
 
Nani anaratibu hiyo press?

Hiyo hotel ni pale pale yule mlimbwende mtu mzima alikula futari na safari ikamalizikia pale, kumbukeni na hilo pia
 
Hao washaingizwa kwenye mfumo kuwakandamiza wenzao
Tatizo kubwa ninaloliona ni hili
Serikali iliwatambua na kuwarasimisha kwa vitambulisho vya buku 20.

Hivyo kama inajua wana viongozi wao, kulikuwa na haja ya kuwashirikisha kwenye kupanga hili zoezi iliwaende sawa pamoja na mipango ya serikali.

Ubaguzi kwenye kuwaamulia hatma yao ni dalili ya watawala kuwachoka na kuwabwaga ili kumkomoa yule mzee
 
Viongozi wa machinga washakuwa watumishi nao Wana support Serikali
 
Back
Top Bottom