Wamachinga kufanya Press Conference Serena Hotel 20/10/2021

Wanachinga hawahawa wanafanyia SERENA HOTEL?[emoji848][emoji848] Aisee watoke kwenye hifadhi za barabara kumbe wanahela
 
Nani anaratibu hiyo press?

Hiyo hotel ni pale pale yule mlimbwende mtu mzima alikula futari na safari ikamalizikia pale, kumbukeni na hilo pia
Hata Dr Slaa alipojiondowa Chadema press yake aliandaliwa hapohapo.

Ukiwa na access na department ya accounts utajuwa nani ni mlipaji wa gharama za leo.

Machinga hawawezi kutowa pesa yao kufanya press hapo wakati ukumbi wa bure wa idara ya habari maelezo upo.
 
Wanachinga hawahawa wanafanyia SERENA HOTEL?[emoji848][emoji848] Aisee watoke kwenye hifadhi za barabara kumbe wanahela
Chief accountant wa Serena ndio anajuwa nani ni mfadhili wa malipo ya event hiyo, na kutakuwa na kula na kunywa nakuhakikishia na bahasha kwa waandishi ili waipambe habari na kumake headlines kwenye media zote. Utakuja kunipa ushuhuda hapa.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nasubiri kuona kama ni machinga au matajiri wanaowatuma
 
Machinga alieko humu tafadhali tunaomba mtupe mrejesho Kama kweli watakao toa press mnawatambua au hayo yatakayoongelewa mmekubaliana ili wananchi tuwe na amani isiwe MaCCm yanaibginia tukio
 
Wamachinga wanafanya press conference Serena hotel [emoji848][emoji15]
 
Jibu liko wazi kabisa kuhusu mwenye hiyo press conference. Wamachinga na press conference? “Where and where?”.
 
Machinga wenyewe
Mkuu sijui majukumu yako yote lakini ni muhimu uwe unatoa ushauri kwa wakuu kuhusu mbinu makini za propaganda. Sisi tunaoishi na wamachinga huku mitaani ukituambia wameitisha press conference hata pale kidogo chekundu tunaona wazi kabisa kamba hiyo, sasa Serena? Dah!
 
“Kumkomoa yule Mzee” - Hii Hapana!
 
Hawa sio wamachinga ni wachuuzi waliojificha kwenye ngozi ya machinga
Serena hotel???? Hicho kituko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…