Wamachinga kufanya Press Conference Serena Hotel 20/10/2021

Machinga ndio waombe radhi kuvamua kwa nguvu maeneo ya wapita kwa miguu na kuharibu miundo mbinu huku hawalipi kodi. Sisi walipa kodi tunaunga mkono serikali hata msaada wa kuwatoa kwa nguvu tupo tayari.
Tokeni barabarani tulikuwa tunawavumilua tu.
 
Kumbe wamachinga wa Dar wana fweza wanafanyia mkutano na waandishi wa habari kwenye hoteli ya kitalii ya nyota tano, badala ya kufanyia kwenye bar ya meku.
 
Machinga wa kufanya press Serena Hotel 😂😂,labda huyo machinga kafadhiliwa na machadema..

Machinga naowajua mimi hawajui hata hiyo Serena Hotel iko wapi na inafananaje.
 
Kama vipi machinga woote mgone kufungua maduka yenu
 
Machinga ndio waombe radhi kuvamua kwa nguvu maeneo ya wapita kwa miguu na kuharibu miundo mbinu huku hawalipi kodi. Sisi walipa kodi tunaunga mkono serikali hata msaada wa kuwatoa kwa nguvu tupo tayari.
Tokeni barabarani tulikuwa tunawavumilua tu.
Watoke kwakweli hawana manufaa na nchi
 
Sisi kwa Sisi Pub

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…