PreGE2025 Wamachinga na Waendesha Bodaboda waitisha press kupinga kutokea kwenye kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Vyombo vya habari vimepoteza nguvu na heshima yake kwa sasa. Hakukuwa na ujinga wa namna hii kabla hivi vyombo vyenyewe vya habari kujiingiza kwenye uchawa.

Wanavuna walichokipanda. Inasikitisha sana. Eti siku hizi kuita tu press kwa mambo ya kijinga imekuwa kama fashion!
 
Kwanza hao anaojiita viongozi hawana mamlaka kuwazuia wanachama wao kutumia haki zao za kidemokrasia
 
Niache kula vichwa Nika support ujinga
We kula vichwa,na kipindi cha uchaguzi usishangae unapewa taarifa kua ulimchagua mtu flani,huku hukumpigia kura.Kwanza nani kakualika,we okota bukubuku huku wenzako wakisema trillion moja na mapointi haijulikani ilipo.
 
Hilo tamko ni lakuwadhalilisha sana bodaboda na wamachinga.
Yaani CCM imeona hiyo ndio jamii pekee inayoweza kuandamana?..

Kwanini watanzania wengine hawawezi kuandamana
 
Nashauri bodaboda wawapige wanaoenda Kisutu kufanya fujo
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mijitu mizima ya ovyo kabisa.
 
Lini boda boda waliitwa!!? Hii kazi ya hawa anaijua vizuri Lema
 
Dahh! Kwahiyo CDM siku hizi haikubaliki hata na wamachinga na bodaboda

Kimebaki kuwa Chama Cha mitandaoni wakati uhai wa Chama upo on the ground
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…