Hujui maana ya haki wewe endelea kula vichwa. Ulishawahi kuona bodaboda MZEE?Niache kula vichwa Nika support ujinga
Hiinnchi kama imeshindikana kuiuza basi ikodishwe hata kwa miaka 10 tu🤣Wakuu,
Kuna watu wameenda kuitisha press kupinga ile kauli ya Heche kwamba watu waende mahakamani kushuhudia ksi ya Lissu Tarehe 24.
Hii nchi inahitaji ukombozi mkubwa sana wa kifikra. A total social autopsy is needed.
-----------------------------
Baadhi ya wanachama wa Umoja wa Waendeshaji Bajaji, Bodaboda na Wajasiriamali Dar es Salaam wametangaza kutoshiriki kwenye mkusanyiko wa CHADEMA Aprili 24, 2025, katika Mahakama ya Kisutu ambako kesi ya Tundu Lissu inatarajiwa kusikilizwa.
Soma Pia: Tundu Lissu ashtakiwa kwa Uhaini, arudishwa rumande, kesi yake kusikilizwa Aprili 24, 2025
Viongozi wa makundi hayo wamesema wataendelea na shughuli za kiuchumi na kupinga maandamano, wakisisitiza umuhimu wa amani na mshikamano.
Kale tu hivyo vichwa , mwisho wa siku wewe ndiye utaliwa kichwa kwasababu ya ujinga wako.Niache kula vichwa Nika support ujinga
Weka hapa barua toka Chadema ikiwaomba waende kuandamana! Watu wataenda kusikiliza kesi si kuandamana kama CCM inavyodai.Wakuu,
Kuna watu wameenda kuitisha press kupinga ile kauli ya Heche kwamba watu waende mahakamani kushuhudia ksi ya Lissu Tarehe 24.
Hii nchi inahitaji ukombozi mkubwa sana wa kifikra. A total social autopsy is needed.
-----------------------------
Baadhi ya wanachama wa Umoja wa Waendeshaji Bajaji, Bodaboda na Wajasiriamali Dar es Salaam wametangaza kutoshiriki kwenye mkusanyiko wa CHADEMA Aprili 24, 2025, katika Mahakama ya Kisutu ambako kesi ya Tundu Lissu inatarajiwa kusikilizwa.
Soma Pia: Tundu Lissu ashtakiwa kwa Uhaini, arudishwa rumande, kesi yake kusikilizwa Aprili 24, 2025
Viongozi wa makundi hayo wamesema wataendelea na shughuli za kiuchumi na kupinga maandamano, wakisisitiza umuhimu wa amani na mshikamano.
Kwani umeitwa na nani wewe chawa?Niache kula vichwa Nika support ujinga
Sikio liizidi kichwa,hili ni suala LA mtu mmoja mmoja,wengine ni hoby TU kusikiliza makesi,wengine kwa ajili ya kujifunza namna sheria zinavyotafsiriwa mahakamani,wengine wanataka kuona jinsi Lisu atakavyobanwa mahakamani,wengine wanataka kuona jinsi waendesha mashitaka watakavoshindwa kuliunganisha shitaka na sheria iliyotumika kulifuingulia shitaka,na wengine wanataka kumwona Kibatala akiwaendesha mputa puta "learned brothers"wengine hawamjui,hawampendi,hawamuungi mkono,LISUwao ni "CHAUMA &Others"lakini wameamua kwenda Kisutu.Wakuu,
Kuna watu wameenda kuitisha press kupinga ile kauli ya Heche kwamba watu waende mahakamani kushuhudia ksi ya Lissu Tarehe 24.
Hii nchi inahitaji ukombozi mkubwa sana wa kifikra. A total social autopsy is needed.
-----------------------------
Baadhi ya wanachama wa Umoja wa Waendeshaji Bajaji, Bodaboda na Wajasiriamali Dar es Salaam wametangaza kutoshiriki kwenye mkusanyiko wa CHADEMA Aprili 24, 2025, katika Mahakama ya Kisutu ambako kesi ya Tundu Lissu inatarajiwa kusikilizwa.
Soma Pia: Tundu Lissu ashtakiwa kwa Uhaini, arudishwa rumande, kesi yake kusikilizwa Aprili 24, 2025
Viongozi wa makundi hayo wamesema wataendelea na shughuli za kiuchumi na kupinga maandamano, wakisisitiza umuhimu wa amani na mshikamano.
Hawa hata vitambulisho vya kupiga kura hawana. Wanajitekenya tu.Wakuu,

Wewe nenda kale vichwa..acha wenye muda wakashuhudie tukio mahimu la kisheria!Niache kula vichwa Nika support ujinga