PreGE2025 Wamachinga na Waendesha Bodaboda waitisha press kupinga kutokea kwenye kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Huo mkusanyiko tuwaone viongozi wa CHADEMA na familia zao mstari wa mbele. Charity begins at home
 
Hiinnchi kama imeshindikana kuiuza basi ikodishwe hata kwa miaka 10 tu🤣
 
Jumuiya ya Vilaza wenye Element za Uchawa.
 
Weka hapa barua toka Chadema ikiwaomba waende kuandamana! Watu wataenda kusikiliza kesi si kuandamana kama CCM inavyodai.
 
Sikio liizidi kichwa,hili ni suala LA mtu mmoja mmoja,wengine ni hoby TU kusikiliza makesi,wengine kwa ajili ya kujifunza namna sheria zinavyotafsiriwa mahakamani,wengine wanataka kuona jinsi Lisu atakavyobanwa mahakamani,wengine wanataka kuona jinsi waendesha mashitaka watakavoshindwa kuliunganisha shitaka na sheria iliyotumika kulifuingulia shitaka,na wengine wanataka kumwona Kibatala akiwaendesha mputa puta "learned brothers"wengine hawamjui,hawampendi,hawamuungi mkono,LISUwao ni "CHAUMA &Others"lakini wameamua kwenda Kisutu.
 
Hawa hata vitambulisho vya kupiga kura hawana. Wanajitekenya tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…