NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Huyo ni mtu wa mfumo huyo propaganda plus kuzua taharuki inayohitajika kuwa taharuki kubwa na anaweza kweli kweli!Unateua mtu kama Chalamila katikati ya watanzania 63M serious?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo ni mtu wa mfumo huyo propaganda plus kuzua taharuki inayohitajika kuwa taharuki kubwa na anaweza kweli kweli!Unateua mtu kama Chalamila katikati ya watanzania 63M serious?
Naamini itaswihi sana.Kila mtu ajipiganie kivyakevyake hadi tutakapokiri wapi tunakosea.Wabaki na shida zao ziwapige haswa
Inabidi tuone umuhimu wa kudai haki zetu na isiwe hisani ya watawalaNaamini itaswihi sana.Kila mtu ajipiganie kivyakevyake hadi tutakapokiri wapi tunakosea.
Nimeipenda hiiRais hawezi kumtuma mkuu wa mkoa akaongee ujinga kama ule.
Acha kumsingizia Rais kwa mambo yanayofanywa na watu wenye mihemko wasiojua nini chakusema.
Kama Rais angekuwa anamtuma kwanini Rais alimwambia Chalamila aache tabia yake ya ujeuri na Chalamila akakiri ameacha?
Na ukaamini?Wanyamwezi wanasema "ulisyentekwa"/ulinunuliwa pipi(mtoto) ili unyamaze kulialia kwa kipondo ulichopewa na mtoto mwenzako michezoni.🤣🤣🤣🤣🙏Rais hawezi kumtuma mkuu wa mkoa akaongee ujinga kama ule.
Acha kumsingizia Rais kwa mambo yanayofanywa na watu wenye mihemko wasiojua nini chakusema.
Kama Rais angekuwa anamtuma kwanini Rais alimwambia Chalamila aache tabia yake ya ujeuri na Chalamila akakiri ameacha?
Kuti gani kavu? Punguza Bangi, huyo ana back up, na hao wamachinga nu wajinga wajinga tupu,Chalamila akalia kuti kavu
Naona Chalamila upo online kujibu mapigo.Kuti gani kavu? Punguza Bangi, huyo ana back up, na hao wamachinga nu wajinga wajinga tupu,
Kamati ya maboresho ya Soko la Simu 2000 chini ya mwenyekiti wake pamoja na wafanyabiashara na wadau wa stendi wa Simu 2000 wameongea na waandishi wa habari leo Julai 17, 2024 kuhusu yaliyojiri tangu kumaliza kikao chao na mkuu wa Mkoa, Albert Chalamila.
Mosi, mwenyekiti amesema wafanyabiashara sio wavamizi kwenye eneo hilo bali waliletwa na Serikali. Wamesema kitendo cha Mkuu wa Mkoa kusema pale sio kwa mama zao na baba zao haikuwa kauli ya kiungwa na haikupaswa kutolewa na Kiongozi ambaye amepewa dhamana na Serikali ya kuhudumia wananchi kwa niaba.
Mwenyekiti amesema wao ni watanzania na baba na mama yao ni Tanzania na walipo ni sehemu yao maana wao ni sehemu ya watanzania kwasababu ipo kwenye ardhi ya Tanzania.
Mwenyekiti: Hawa viongozi tumewapa dhamana ya kuongoza na kusimamaia kero na changamoto zetu pamoja na mapungufu kama aliyaona mkuu wa Mkoa hakupaswa kuzungumza kauli kama zile ya kwamba Machinga sasa anatakiwa akae miaka miwili au mitatu awe amestaafu kuwa machinga, atoke sehemu kama hizi aende sehemu zingine.
Unajiuliza, hawa ni viongozi ambao wanaishi kwa kodi zetu, wanakaa miaka mitano mpaka kumi basi kwanini yeye hakuona umuhimu wa kutoa ushauri kwamba sasa wakuu wa mikoa kwasababu mikoa iko michache Tanzania na watanzania ni wengi na wao wanapenda kuwa viongozi, wanufaike na keki ya Taifa, kwanini asiwe wa kwanza kutoa mapendekezo sasa mkuu wa mkoa anatakiwa kukaa miaka miwili/mitatu baada ya hapo amuachie mtu mwingine.
Akaona hawa wamachinga ambao walikuwa wanakaa kwenye jua kwa muda mrefu, wamekuja sokoni kujitafuta anadhani miaka miwili inatosha kuacha umachinga na akatufute fremu, sijajua taaluma ipi ya uchumi inakubaliana na hili jambo.
Anasema mmefinywa na waume zetu mnajiliza hapa unafiki, kweli unamwambia mtu jambo analia machozi unamwambia ni mnafiki! Yale machozi ya wafanyabiashara waliona ni adha wanaenda kupitia kupitia huu mradi ndio maana walianza kupata picha ya nini kinafata kwasababu wameshahangaika muda mrefu. Walikuwa Ubungo wakatolewa, walikuwa wapi wakatolewa, wameshanyang'anywa mizigo sana, wameletwa sokoni wameambiwa sasa kaeni hapa ni sehemu rasmi, tena inakuja kwamba hapa sio sehemu rasmi.
Karakana ni muhimu kuliko wafanyabiashara wadogo wadogo, hii inaweza ikajenga picha sasa viongozi wa nchi yetu hawajali tena mtu wa hali ya chini na kuna wafanyabiashara walinifata wakaniambia kwelie angekuwepo marehemu haya maneno yasingewezwa kuzungumzwa.
Kauli za nitaamuru polisi wapige push up juu ya migongo yenu zilikuwa ni fedheha, ni udhalilishaji na ni kutweza utu wa mtu.
View: https://www.youtube.com/live/naKo4HNboMs
ha ha ha!Wanadai watoto wa Mbowe wawe mbele wao nyuma.
NB;Wanazingatia msemo maarufu wa ..."mbele yetu,nyuma yako"...!Umakini mfu!
😆😆Naona Chalamila upo online kujibu mapigo.
Ila,sidhani kama nililenga hayo na CHADEMA.Wanapaswa na walipaswa kuyaelewa vema waliyoambiwa leo hadi wamejinunisha miaka ishirini nyuma kabla hawajapazoea hapo hadi kudhania ni nyumba yao waliyoijenga.Too late to lament!ha ha ha!
Ushauri kwa CHADEMA, wakae kimya, waache kila mtu asifie, nafasi za kuteuliwa kwa kusifia zitajaa, watakumbuka asali na maziwa ya Nchi ya ahadi.
Well said, na bado itawatafuna.Ila,sidhani kama nililenga hayo na CHADEMA.Wanapaswa na walipaswa kuyaelewa vema waliyoambiwa leo hadi wamejinunisha miaka ishirini nyuma kabla hawajapazoea hapo hadi kudhania ni nyumba yao waliyoijenga.Too late to lament!
Mfumo pekee anaotoka Chalamilla ni mfumo wa breweries.Huyo ni mtu wa mfumo huyo propaganda plus kuzua taharuki inayohitajika kuwa taharuki kubwa na anaweza kweli kweli!
Ndiyo ukweli huo.Wasijidekeze na kutaka kubakia kuwa wamachinga maisha yao yote.Kila kitu huanza,hukua,huzeeka na kufa/kupotea hata kwa kutekwa.Kila kazi ina muda wa kustaafu.Kama hadi kaya zenye uchumi duni zilizowekwa kwenye mpango wa kupata ruzuku chini ya mpango wa TASAF huwa wanastaafu,wao ni akina nani hasa hadi hawataki kustaafu?Well said, na bado itawatafuna.
Wamachinga wamebememndwa, wanafanywa kama yai la kuku lililotagwa kabla ya muda.
Kamati ya maboresho ya Soko la Simu 2000 chini ya mwenyekiti wake pamoja na wafanyabiashara na wadau wa stendi wa Simu 2000 wameongea na waandishi wa habari leo Julai 17, 2024 kuhusu yaliyojiri tangu kumaliza kikao chao na mkuu wa Mkoa, Albert Chalamila.
Mosi, mwenyekiti amesema wafanyabiashara sio wavamizi kwenye eneo hilo bali waliletwa na Serikali. Wamesema kitendo cha Mkuu wa Mkoa kusema pale sio kwa mama zao na baba zao haikuwa kauli ya kiungwa na haikupaswa kutolewa na Kiongozi ambaye amepewa dhamana na Serikali ya kuhudumia wananchi kwa niaba.
Mwenyekiti amesema wao ni watanzania na baba na mama yao ni Tanzania na walipo ni sehemu yao maana wao ni sehemu ya watanzania kwasababu ipo kwenye ardhi ya Tanzania.
Mwenyekiti: Hawa viongozi tumewapa dhamana ya kuongoza na kusimamaia kero na changamoto zetu pamoja na mapungufu kama aliyaona mkuu wa Mkoa hakupaswa kuzungumza kauli kama zile ya kwamba Machinga sasa anatakiwa akae miaka miwili au mitatu awe amestaafu kuwa machinga, atoke sehemu kama hizi aende sehemu zingine.
Unajiuliza, hawa ni viongozi ambao wanaishi kwa kodi zetu, wanakaa miaka mitano mpaka kumi basi kwanini yeye hakuona umuhimu wa kutoa ushauri kwamba sasa wakuu wa mikoa kwasababu mikoa iko michache Tanzania na watanzania ni wengi na wao wanapenda kuwa viongozi, wanufaike na keki ya Taifa, kwanini asiwe wa kwanza kutoa mapendekezo sasa mkuu wa mkoa anatakiwa kukaa miaka miwili/mitatu baada ya hapo amuachie mtu mwingine.
Akaona hawa wamachinga ambao walikuwa wanakaa kwenye jua kwa muda mrefu, wamekuja sokoni kujitafuta anadhani miaka miwili inatosha kuacha umachinga na akatufute fremu, sijajua taaluma ipi ya uchumi inakubaliana na hili jambo.
Anasema mmefinywa na waume zetu mnajiliza hapa unafiki, kweli unamwambia mtu jambo analia machozi unamwambia ni mnafiki! Yale machozi ya wafanyabiashara waliona ni adha wanaenda kupitia kupitia huu mradi ndio maana walianza kupata picha ya nini kinafata kwasababu wameshahangaika muda mrefu. Walikuwa Ubungo wakatolewa, walikuwa wapi wakatolewa, wameshanyang'anywa mizigo sana, wameletwa sokoni wameambiwa sasa kaeni hapa ni sehemu rasmi, tena inakuja kwamba hapa sio sehemu rasmi.
Karakana ni muhimu kuliko wafanyabiashara wadogo wadogo, hii inaweza ikajenga picha sasa viongozi wa nchi yetu hawajali tena mtu wa hali ya chini na kuna wafanyabiashara walinifata wakaniambia kwelie angekuwepo marehemu haya maneno yasingewezwa kuzungumzwa.
Kauli za nitaamuru polisi wapige push up juu ya migongo yenu zilikuwa ni fedheha, ni udhalilishaji na ni kutweza utu wa mtu.
Tunaomba kutumia fursa hii kumuomba mkuu wa mkoa kwamba hizi kauli asizitumie tena mahala popote ndani ya nchi yetu kwasababu pia zinaifanya Serikali ipate taswira mbaya kwa wananchi wake na kauli zile zinaweza zikajenga chuki baina ya Serikali na viongozi.