Wamachinga Simu 2000 wamshukia Albert Chalamila, wasema kauli kuwa machinga wanatakiwa kustaafu miaka mitatu ilhali wanasiasa hawastaafu inashangaza

Nimeipenda hii
 
Na ukaamini?Wanyamwezi wanasema "ulisyentekwa"/ulinunuliwa pipi(mtoto) ili unyamaze kulialia kwa kipondo ulichopewa na mtoto mwenzako michezoni.πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™
 
Wapewe flana za kijani na kofia, wasifie mpaka wasahau wake zao!
 
Hawa viongozi wao si walienda kule Dodoma badala waongee kero zao na kutetea wananchi wakarud na msemo wa "Mama tuvushe"

Hawa viongozi njaa ni nyoko sana
 
ha ha ha!
Ushauri kwa CHADEMA, wakae kimya, waache kila mtu asifie, nafasi za kuteuliwa kwa kusifia zitajaa, watakumbuka asali na maziwa ya Nchi ya ahadi.
Ila,sidhani kama nililenga hayo na CHADEMA.Wanapaswa na walipaswa kuyaelewa vema waliyoambiwa leo hadi wamejinunisha miaka ishirini nyuma kabla hawajapazoea hapo hadi kudhania ni nyumba yao waliyoijenga.Too late to lament!
 
Mwamba alikua kashatupia makoncho yake anawaona machinga kama wanafunzi mikono inawasha awachape viboko kama wale wanafunz wa mbeya
 
Ila,sidhani kama nililenga hayo na CHADEMA.Wanapaswa na walipaswa kuyaelewa vema waliyoambiwa leo hadi wamejinunisha miaka ishirini nyuma kabla hawajapazoea hapo hadi kudhania ni nyumba yao waliyoijenga.Too late to lament!
Well said, na bado itawatafuna.
Wamachinga wamebememndwa, wanafanywa kama yai la kuku lililotagwa kabla ya muda.
 
Chura Kiziwi japo unajifanya kiziwi ila inatosha sasa, mpumzishe huyu Mlevi Chalamila.

Kuna ukomo wa ubumbuwazi, hata kama kila kitu mpaka uambiwe na kushauriwa, hebu hili tumia akili yako mwenyewe hata kama ni ndogo.
 
Well said, na bado itawatafuna.
Wamachinga wamebememndwa, wanafanywa kama yai la kuku lililotagwa kabla ya muda.
Ndiyo ukweli huo.Wasijidekeze na kutaka kubakia kuwa wamachinga maisha yao yote.Kila kitu huanza,hukua,huzeeka na kufa/kupotea hata kwa kutekwa.Kila kazi ina muda wa kustaafu.Kama hadi kaya zenye uchumi duni zilizowekwa kwenye mpango wa kupata ruzuku chini ya mpango wa TASAF huwa wanastaafu,wao ni akina nani hasa hadi hawataki kustaafu?
 
Naona@raraareree anapita kwenye sledi anatucharazia likes tu kiroho poa bila madai ya ujira wowote.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™
 
Hivi huyu Chalamila na Nape si huenda biological father wao akawa ni mtu mmoja!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…